Recent content by Mbofu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina Ll.B, natafuta internship

    petro acha mashauzi yako..uliclear kile kimeo chako cha lawschool?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maswali usahili wa Hakimu Mkazi II

    Wametoa majina gazeti gani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Ajira Unaweza Kusababisha Ukajinyonga

    Wakubwa nilimaliza chuo nikiwa 26 sahivi naenda 30 sina ajira. Nipeni tu pole
  4. M

    JamiiForums Tanzania msaada Mlinzi wangu anadai kiinua mgongo. tsh mil 5 nifanyeje?

    severence pay..au kiinua mgongo analipwa mtu aliestaafu au alie achishwa kazi kwa sababu ambazo si za kinidhamu yani kustafishwa kwa lazima eg. kupunguzwa kazi.ambayo huwa ni basic pay for seven days times miaka ulivo fanyia kazi isizidi kumi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tumbo halijarudia hali ya kawaida baada ya kujifungua

    nadhan anamaanisha mtoto alifariki.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tumbo halijarudia hali ya kawaida baada ya kujifungua

    Nenda dynapham wanadawa asili,nipm pia nkpe namba ya dada mmoja anadawa za india znapunguza vtambi! Kngne kbariana na hali mana uzaz una mambo ikiwa pamoja na kupoteza shape kbsa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya HIV yenye utata

    Subiri after 3 moths upme tena,ucwe na haraka,pia ubkra c sababu mana HIV inaambukizwa kwa njia nyng c tu ngono
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    Asanteni sana ndg zangu,nlsoma mtandao flan nkaona hyo beet root nkashndwa kuelewa ni nini.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    asante sana mkuu,mungu akubariki sana!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    wapi ndg wanaombewa,nataman sana mwanangu awe normal.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    mkuu,tsaidien jaman.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari: Tume ya Warioba ifikirie kuingiza mahakama ya kadhi ndani ya katiba mpya

    tkiwambia mwende shule mnakasirika, Civil cases hazna mtuhumiwa, ukiitwa mahakamani ukakataa km wewe ni upande wa kesi,kesi inaskilzwa na ktolewa maamuz upande mmoja,pia hakna adhab km hzo kwa uzinz,adhab yake ni fain tu! Hatuwez kuweka kadhcourt coz ktakuwa na mgongano mkubwa,tz c dola ya kiislam!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    Nisaidieni jamani kulea mtoto wa sikoseli,nimpe diet gani? Ana umri wa miez 6 tu
  14. M

    JamiiForums Tanzania naomba jibu:ni sahihi kukatwa NSSF KATIKA PROBATION PERIOD MIEZI 3???

    Huwez katwa nssf kwenye probation period,na especially pale hujapata usajil wa nssf,wambie wakikupa mkataba ndo utachangia.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kisheria!

    Kugoma kuitwa mahakaman ni kosa tena la jinai, unaweza fungwa! we nenda halafu kajib unachokijua!
Back
Top Bottom