Recent content by mbobezi11

  1. mbobezi11

    Ushauri Mdogo wangu Amepata Disco chuo mwaka huu namsaidiaje?

    Chuo ganii mtu aki disco anaendelea na masomo??? Inavyofahamika mkopo ni kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo tu, Ukidisco inamaana kwenye Data base za chuo unapotea, hivyo hivyo kwenye database za TCU pia, kila mwaka loan board hupewa muendelezo na TCU, Au ipoje mkuu
  2. mbobezi11

    Sasa ni wakati muafaka kila mhimili yaani Bunge, Mahakama na Urais kuwa na makao yake ktk miji tofauti ?

    Hiyo itasaidia nini katika kutekeleza Majukumu yao?? Hii itauwa au itaondoa malalamiko ya Kuingiliana kwa mihimili???
  3. mbobezi11

    Nani kakosekana kwenye kikosi hiki?

    Eric Cantona?? Fabio Contrao?? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mbobezi11

    Information and record management SUA au law Jordan university

    To be honest, SUA chuo kizuri ila umechaguliwa kozi mbaya, Law ni kozi nzuri umechaguliwa chuo kibaya,
  5. mbobezi11

    msaada wenu wakuu kwa mdogo wangu

    Syestem inazingua, kuna mwana apa kajiona kwenye pdf tu walizotoa
  6. mbobezi11

    Vyuo vya Udaktari

    ONE point 09, kwa hivyo vyuo asingeweza kupata ata Pharmacy na Nursing ni ngumu kupata, Maximum Tuition fees ya Loan Board Ni 3ml hii kama umepata 100% unless wawe wamebadilisha,
  7. mbobezi11

    Naiona Safari yangu ya Kuwa Tajiri!

    Fedha ya boom?? 510, 000??
  8. mbobezi11

    COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT (CED)

    Sio yeye Kuna thousands hawajui Destinations zao Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mbobezi11

    Msaada

    Kigezo cha kwanza ni C3, Then katika combi yako min uwe na points 10 yaani AAA-CCD, mfano aliyepata Hist D Kisw C Engl C Civ C anaruhusiwa kusom HKL CCD Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mbobezi11

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Unapataa kama unavigezoo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mbobezi11

    Msaada

    Yeah anaweza, Maximum huwa ni points 10, BCD ni point 9, anafanya bila wasiswasii Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mbobezi11

    First round selection

    Una uhakika hiyo ni course kwelii?? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mbobezi11

    COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT (CED)

    Social works, Community development, Sociology, Unahisi course yako na hizi zinautofati gani?? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mbobezi11

    Uchaguzi Wa Kozi

    Kwa mfano, Unadhani kwa nini ulifeli sayansi, na kwanini ulitaka MD??
Back
Top Bottom