Recent content by mbiri kau

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dkt Shein : Watumishi wa umma nitawapandishia mshahara kwa asilimia 100

    Hayo ni maneno ya jukwaani tu hakuna utendaji, uzuri wa namba hua hazidanganyi kama hakuna uzalishaji hakuna natumizi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pata siri za sirini za mwanamke kwa kuangalia lips na kidevu

    Naunga mkono hoja ni kweli sehemu kubwa ya maumbile ya kike yapo kwenye uso wake ametaja baadhi ila kuna vingi zaidi inavyoendana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Sao Hills kupunguza wafanyakazi 600

    Na dangote ana wiki sasa kiwanda hakifanyi kazi malori yote yamepaki tatizo ni kumlazimisha kuchukua rol matirio ndani ya nchi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    Wacha aisome namba si alishazoea kuishi kwa ubabaishaji
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Pogba wetu ni hasara tu

    Tatizo kubwa linalonisikitisha kwa pogba akipigiwa zile clear asist yeye hukasirika na kuchukua majukumu ya kocha ya kumpiga sub mido
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    Maneno yako aliyaongea dr salmin kumwamia juma duni na wenzake sasaivi yamemeukia yy
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiuno nyigu...

    Ni mrembo kweli ila chapa ilale, fahari ya macho ndio sifa yao kubwa kwenye mapenzi wana mapungufu mengi zaidi kuliko sifa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naibu IGP aonya vitendo vya aibu ndani ya Polisi

    Labda si mtembeaji polisi kuna pini hasi unajiuliza ilikuaje akwa polisi asitafute lazi nyengine
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta hakwenda timu sahihi

    Hizo nchi ama timu unazoona ni sahihi kwenda samata asingetimiza vigezo ndio maana ukasikia takuma amefaulu vigezo vyote vya kuichezea arsenal ila amekosa kibali cha kufanyia kazi uk. nk
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya kisiasa Zanzibar ikoje?

    Hali ya kisiasa zanzibar inajulikana siku zote hujasikia wanaokwenda kumsikiliza raisi wamechukuliwa dar na mapinduzi ll na hujaona bandiko la wafanyakazi kulazimishwa waende uwanjani?
  11. M

    JamiiForums Tanzania CUF yampisha Rais Dr. John Magufuli kufanya mkutano Pemba

    Ziara ya kikazi unachukua mashabiki wa kujaza uwanja kutoka dar?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke: Mwanaume anapokuangalia anakuona mpaka ndani, viashiria hivi zingatia

    Mada inatofautiana na maudhui
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jamani sijui nifanyeje na huyu kaka yangu, hataki niwe na mpenzi

    Kuna shemeji yangu nilikua namshauri kama huyu mdada na ikawa ananijibu kama anavyojibu huyu kwamba amekua na anajitambua lakini ndani ya mwaka alishagongwa na visharobaro kama sita hivi tena wawili wlikua ndugu wa damu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vile warembo wanavyotemwa kisa ubaridi wa 'K' yao

    NB. K za baridi husababishwa na utandawazi kutokuvaa nguo za kujistiri
  15. M

    JamiiForums Tanzania Milioni hamsini za Mh. Rais Magufuli kwa kila mtaa zimepotelea wapi?

    Fanya shughuli zako usisubiri hela hizo hata huku kwetu tulihamasiswa tukaambiwa tujiunge vikundi vya watu watanowatano na tukaambiwa itakapotoka ni laki tano kwa kila kikundi hakuna kilicgoendelea hadi sasa
Back
Top Bottom