chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,392
- 24,955
Dkt. Shein ametoa hakikisho hilo leo wakati akiwaongoza watanzania kuadhimisha Miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Amani visiwani humo.
Amesema kuanzia mwaka huu kima cha chini cha mshahara kitaongezeka kutoka Tsh. 150,000 hadi Tsh. 300,000 ikiwa ni ongezeko la asilimia 100.
Dkt. Shein ametoa tathmini yake ya mwakammoja tangu ahanguliwe tena kuiongoza Zanzibar, ambapo amesema mwaka 2016 umekuwa ni wa mafanikio makubwa katikanyanja mbalimbali ikiwemo elimu, kilimo, viwanda, huduma za jamii ikiwemo afya na huduma za maji, miundombinu n.k.
Chanzo : EATV
My take: Bwana mkubwa huyu pesa amezichimba wapi kiasi cha kupandisha mshahara kwa ukubwa huo ilhali mwenzake huku Bara hali ngumu mpaka kaamua kukopa?