Mkuu vip hii mishe bado unaiendeleza? Maana na ujuzi wakutengeneza bidhaa za maziwa kama mtindi plain na za flavour nipo bunju dsm kama vip tunaeza fanya iyo project yakusindika maziwa maana hapa dsm uhitaji ni mkubwa wa mtindi
Wakuu nimesoma sayansi na technolojia ya chakula (foodscience and technology) SUA.Naomba msaada wa kazi,Internship au volunteer (viwandani,taasisi za serikali au binafsi) vile vile kwa wazalishaji wa chakula viwanda vidogo natoa ushauri na kuwawakilisha kama food scientist
Mkuu naomba ufafanuzi juu ya hii kozi ya masonry and brick laying hasa inahusisha nin je nitapata kujifunza mambo ya finishing kama za gypsum,kuweka paa na rangi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.