Recent content by mbezijonas

  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama imara sana

    Umeandika maneno mengi lakin pumba tupu huna hoja kaa kimya
  2. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Kapimwe akili naona unaongelea mapenz huongelei uhalisia wa jambo nyie ndo mnaturudisha nyuma
  3. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Hili nchi lina mijitu mijinga sana sasa ney katukana sehem gan zaid kaongea ukwel
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanaCCM waliobaki kumuunga mkono Mwenyekiti wao.

    Unaiamin wewe pekee yako mim hapana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

    Umepoteza muda kuandika maneno mengi ambayo hayataungwa mkoni na raia yeyote mwenye akili timamu zaid ya kukuona mwandishi punguani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Wewe nan mpaka umwongezee
  7. M

    JamiiForums Tanzania Professor Mark Mwandosya kuongea na wanahabari Leo

    Hayawani wewe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maajabu ya team kiba kwa diamond

    Wenzenu wanapiga hela kutwa kuwazungumzia wanaume wenzenu ndo nn sasa kila mmoja ana sehem yake
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lissu juu ya kauli ya Rais kwenye sherehe za Siku ya Sheria

    Masuala ya upinzani na lissu hatuyaangalia tunaangalia alichokiongea je ni kweli au porojo nashangaa mtu analeta chuki zake na mapenz yake ya ccm
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lissu juu ya kauli ya Rais kwenye sherehe za Siku ya Sheria

    Rudi shule
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Haya mawazo yako usishawash watu wakufate kwan we nani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa uchafu huu wa Mbowe anapata wapi uhalali wa kuendelea kuwa kiongozi na kwenyekiti wa CHADEMA?

    Tatizo watanzania uelewa wenu mdogo kuna viongozi wa chama tawala watakuwepo kwenye hilo janga la ukwepaji kodi sema wamenyamaziwa wa upinzan ndo wanaumbuliwa nashangaa mnaanza kushadadia bila kujua
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio dini ya kweli na ndio nimeamua kuifuata

    Dini ya kweli ni matendo yako
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini baada ya makosa imebidi panga limshukie Dr. Possi?

    Boss kafanya kosa tukubali tu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

    Cha kwanza huna akili hata kidogo usikosoe dini yoyote bali kosoa matendo yako japo kubadil din ni uamuz wako sasa ushakuwa muislam tenda midhambi yako halafu uone kama mungu atakuacha na uislam wako dini ya kweli ni matendo yako braza ukristo na uislam mbwembwe tu
Back
Top Bottom