Recent content by mbeyu T

  1. mbeyu T

    JamiiForums Tanzania Trump: Tumeharibu mfumo wote wa makombora ya Iran kwa asilimia 90

    Huyo ndo master of manipulation...afu anajiamini kwa anachokiongea😅, hata kama ni pumba
  2. mbeyu T

    JamiiForums Tanzania Wadau, msaada kidogo hapa

    Mimi ni mwanafunzi wa MSc in Data Science (UDSM). Kwa upande wa research, mambo yamekuwa magumu sana hadi nimeshindwa kumaliza kwa wakati. Kwa hiyo naangalia option ya kuhamia chuo kingine ili niweze kumaliza masters yangu. Sasa changamoto niliyokutana nayo ni hii: Chuo ninachotaka kuhamia...
  3. mbeyu T

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    tupe basi mikeka ya TAA ndugu
Back
Top Bottom