Recent content by mbeya

  1. M

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    ni mapema mno kuzungumzia uzur au ubaya wa magufur yupo kwa transitional sasa
  2. M

    Balozi Sefue naye awajibishwe

    kwa utawala uliopita siwez kumlaum dr hosea tatizo lilikuwa ni mamlaka ya juu aliweka watu wake sana hakuna ambacho kilikuwa hakijulikan tatizo ni kuamua hata hzo tax avoidance na hayo makontena siyo issue ngen nafkri hata mwenyekiti wa agent association amesema walikuwa wanapeleka taarifa...
  3. M

    Mikoa sita (6) kapuni uteuzi wa baraza la mawaziri

    tusipende kulaumu tuangalie uchapakazi wa mtu na sifa aliyo kuwa nayo mtu hii inawafundisha ccm wasichague vilaza kuna mkoa mmeutaja wote waliopita hawana hata degree lakin kwenye kura za ndani kulikuwa kuna watu wana phd ila kwakuwa hawakuwa na fedha za kuhonga walishindwa ni bora katiba...
  4. M

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    magufuli yuko sahihi ccm kuna wabunge wengi hawana sifa ya kuwa wazir ccm chagueni wagombeq wazur wenye elimu na wasafi mnachagua kwa uwezo wao wa kifedha ndoo maana hata bungen hawana hoja za kuchangia zaid ya kupiga makofi mapungufu ya wabunge kuwa mawazir inaonekana ni.bora mawazr wasiwe...
  5. M

    Mh. Rais Pombe Magufuli, tangaza mali zako hadharani

    kufanya kaz kwake kisiwe kigezo cha kuficha alivyokuwa navyo kutaja mali ni takwa la kisheria ni bora akaweka wazi ameingia urais na nini na ametoka na nini nakumbka alikuwa na nyumba ambazo aliipangisha halmashauri aziwekw waz
  6. M

    Kuitwa Mahakamani kutoa ushahidi na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa(TAKUKURU)

    swala la kulipa shahidi mahakama ndiyo yenye jukum.la kulipa hati ya wito inatolewa na mahakama kutoa ushahid kama hao takukuru watakupa fedha hilo watakuwa wamefanya ubinadam tu lakin mahakama ndiyo inayolipa kwa kesi zote za jinai
  7. M

    Mume mwema anahitajika

  8. M

    Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    tatizo la kwako lisifanywe chuo chote kibaya hayo ni matatizo ya mtu mmojammoja na kila chuo yapo cha kuangalia ni jinsi gani unaweza kuderiver mpaka unatoa fedha inaonekana hata undergraduate ndo ulikuwa mtoko wako
  9. M

    Picha: Hatimaye SONGWE lawa jina la mkoa pacha kutoka Mbeya

    yohana charles nafkiri sio mwenyeji wa mbeya ndoo maana unaunga mkono hoja kwa asilimia zote hujui jiografia, sababu ya kuweka mkoa ni kusogeza huduma kwa wananchi kumtoa mtu kutoka ileje kwenda mkwajuni si sahihi hata kidogo tukumbuke kuwa ileje inapakana na kyela na Rungwe kunabaadhi ya...
  10. M

    Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

    Tatzo watanzania hatuwezi kusonga mbele kwa sababu ya kuhurumiana kwa ufisadi ukitaka nenda kamuulize nape kwanini walikosana kwenye ujenzi wa jengo la ujenzi wa vijana tatzo rushwa sasa mnaanza kupigana vikumbo kumsafisha kwani nchi hii ni lowasa tu why
  11. M

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Sio tiss tu na pccb na sehemu zingine lakini nasikia wengine ni mawaziri na ndo mnaowapigia chapuo kuwa maraisi vetting ya bongo ni fedha na kuwa mwanamtandao hata kama huyo mtu atauza nnchi
  12. M

    Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    Watanzania tumezidi mno poroja badala ya matendo tunapenda vitu rahisi kuanzia kwa wapiga kura mpaka viongozi wa juu na hii ndo imetufanya kupata viongozi ambao wanafikiria misaada ndiyo inaweza kutuletea maendeleo. najua viongozi hawalijui hilo kwa sababu hata wasaidizi wa viongozi wa juu ni...
  13. M

    Watu wengi wanaoipigania CHADEMA ni wale wavivu wasiopenda kufanya kazi-Malibwa(udsm)

    Wasomi wa bongo waoga kazi kujipendekleza ili matumbo yao yashibe sasa hivi wanalalamika rushwa hata kwenye katiba hakuna anayefikiriaizungumzwe hao ni watuhumiwa wa kesho ndo maana wanaogopa chama kingine
  14. M

    Mzindakaya kashfa nzito zaibuliwa na Mbunge Aeshi Hilary (CCM)

    kimsingi ndani ya ccm hakuna msafi hata mmoja ni kweli tuhuma anazotoa aeshi si ngeni ni za mda ila hazifanyiwi kazi kwa kuwa ni CCM Lakini hata huyo aeshi naye ni mkwepaji mkubwa sana wa kodi wanaingiza sukari na washirika wake mpaka wa kasesha kutoka zambia bila kulipa kodi hata kupita kwake...
Back
Top Bottom