mkuu naomba nikupe assignment moja leo, usiku dk chache kabla ya kulala omba kile unachotaka km ni uponyaj wa ugonjwa au whatever ,amini kwa maana expect to the fullest,kisha lala wah kulala, kesho asubuh ukiaamka tu fany km ulivyofanya last night,kisha endelea na maisha yak ,we kuwa na iman na...