Ulaya ni ulaya tu jamani

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,363
IMG_20170506_215330.JPG
Jamaa baada ya siku ndefu ya kuokota chupa za maji ana login kwenye JF yao kuangalia kuna thread gn mpya,huyo ni mtu anayeokota kopo maisha yake hivyo vp mbeba box.
USA baby View attachment 505430
 
Unadhani waokota makopo wa ulaya ni sawa na wa bongo? Hapo ukute ni mbaba ana jumba lake la maana na watoto wapo shule nzuri tu! Mzungu akiwa rough haimaanishi ni masikini...

Paprika na huko kichwani utaratibu ukoje? Unless anatengeneza dreadlocks.
 
Akibahatika kuja BONGO anaitwa MTALII huyo....

Utaona wale Dada zetu kama akina Mange wanajilengesha wenyewe wakidhani akiwapeleka Ulaya (kwao) watakuwa ndio wameaga UMASIKINI....

Kumbe Msela ana MATATIZO kibao...
 
View attachment 505433Jamaa baada ya siku ndefu ya kuokota chupa za maji ana login kwenye JF yao kuangalia kuna thread gn mpya,huyo ni mtu anayeokota kopo maisha yake hivyo vp mbeba box.
USA baby View attachment 505430
Huo ni uongo ni kichaa tuu kaokota laptop mbovu mtaani anaisha ngaa shangaa tuu na hata anvyo ibeba havihusiana ujinga wako pelekea chekechea wenzio sio humu
Na ukiangalia kwa makini photo shop tuu hiyo
 
Back
Top Bottom