Recent content by mbeta1983

  1. mbeta1983

    Ni ujinga kumiliki mke/mwanamke mlevi

    Wapo ambao sio walevi na wanasaliti ndoa zao vzr tu
  2. mbeta1983

    Wasichana wa kazi wa ndani

    Uwezo wako wa kufikiria ndio umeishia hapa au. Jitahidi kdg kujiongeza
  3. mbeta1983

    Wasichana wa kazi wa ndani

    Naona kama unafoka badala ya kueleza hoja.
  4. mbeta1983

    Nimemblock baada ya kuona vitu havieleweki kutoka kwake

    Pole sana ila umepata cha kujifunza hapo. Unasikitika hivyo wakati hujamsomesha, wenzako wanasomesha kabisa na wanapigwa chini vilevile.
  5. mbeta1983

    Naomba ushauri kuhusu iPhone

    Jamani natamani ninunue iPhone, ila nakatishwa tamaa na watu wanaoniambia App zake na android haziko compatible. Mara nitashindwa kushare docs na mtu wa android mara kuna applications ambazo ukiinstals zi akataa. Naombeni mnaotumia mnisaidie mawazo kabla sijafanya maamuzi ya kunjnua iPhone 12...
  6. mbeta1983

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Sasa uende kwa wazazi wako. La sivyo tulia
  7. mbeta1983

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Ndugu Pole kwa changamoto hii. Unapowaza kumfukuza wakati huna kazi utaishije na mtoto?au unamfukuza aondoke na mtoto na wewe urudi kwa wazazi wako.? Anyway nakushauri tafuta kitu cha kufanya upate walau 500 kwa siku, kazi sio kuajiriwa tu..
  8. mbeta1983

    Umri 34-36 mwanaume umechelewa kuoa ama?

    Hakuna kuchelewa kwa mwanaume. Wanawake ndio kuna kuchelewa maana umri wa kupata watoto unakuwa umepita
  9. mbeta1983

    Namshangaa huyu mwanamke wangu

    Mweee aisee anatia huruma.
  10. mbeta1983

    Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Mnamwangalia tu shemeji, wewe unayekaa pale je unakaaje ndio la muhimu
  11. mbeta1983

    Naomba mnisaidie kimawazo

    Huyu mwanaume ni mumeo au boyfriend. Na kama ni boyfriend kwa nn unalala naye[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3]
Back
Top Bottom