Recent content by mbesre

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkoa wa Mara kugawanywa

    Hayo ni mawazo yako,bado sana mkoa wa Mara ugawanywe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Namchuna mme wa mtu kwa miaka miwili sasa lakini hajawahi kuhitaji chochote kutoka kwangu!

    Mjaribu kumwambia unamtaka ujue atakuambia nn
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida kaskazini Lazaro Nyalandu na wenzake, wagomea maamuzi ya Mkuu Mkoa Singida

    Kwani makao makuu ikijengua wanakopendele mh Nyalandu hamtakua na maendeleo? Kwanini mnalazimisha uko kwingine?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimepiga vigelegele na kushangilia baada ya mume wangu mtarajiwa kupunguzwa kazini! Oh halleluyah!

    Japo kuwa amepunguzwa kazini,uzidi tu kumpenda.pia mkumbushe makosa yake ya nyuma ili akipata kazi tena ajirekebishe.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, nakabwa na wachawi usiku

    Mweleze yesu tatizo lako atakusaidia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lema Aweka jiwe la Msingi ujenzi wa hospitali ya mama na mtoto Arusha

    Huyo mkuu wa mkoa ameudhuria ktk kuuweka jiwe la msingi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku kukatwa mshahara wangu na kupelekwa kwenye mifuko ya jamii

    Kama kuna uwezekano kutojiunga na haya mashirika haya itakuwa vzr sana,kwani ukistaafu au kuachakazi unaambiwa ukae miezi kadha ndipo uchukue mafao yako.na inapomalizika miezi hiyo ukienda utapigwa tarehe wanavyota.swali,kujiunga na haya mashirika ni hiari au ni lazima?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwalimu Nyerere ilivyowahi kumponza Tundu Lissu

    Hakika kwa historia hiyo nimeamini umarufu wa mtu huanzia mbali na kwa jambo dogo kama ilivyokuwa kwa Tundu lisu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa Meya wa Dar, Dr. Didas Massaburi afariki, Rais atuma Salamu za rambirambi

    Poleni sana ndugu wa marehemu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kufungia Asasi za kijamii zinaounga mkono mapenzi ya Jinsia moja

    Naipongeza serikali kwa kuliona hilo nakukikemea kwa nguvu zote,ila wangezitaja tasisi hizo ili sisi wananchi tuzijuwe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuchukua uamuzi fikiri kwanza

    Nimeipenda ni elimu tosha.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa karne atakuwa Magufuli

    Kuhusu excrow umesikia ameshasema nini.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta king'amzi kinachotumia satellite kupata na kuangalia mpira live hasa ya Ulaya

    Twambie unapatikana mkoa gani .
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta king'amzi kinachotumia satellite kupata na kuangalia mpira live hasa ya Ulaya

    Unapatikana wapi kwa mawasiliano
Back
Top Bottom