Naomba msaada, nakabwa na wachawi usiku

Naomba msaada, nakabwa na wachawi usiku

Jipake mavi shingoni kabla ya kulala ili mchawi akikukaba akifika kwake anawe na sabuni.
 
Habari zenu wadau, mimi naomba kujuzwa njia ya kujikinga na hawa wachawi wanaonitesa usiku, yaani unakabwa hadi ukishtuka unaona kichwa hakiko sawa, nimechoka sana na hawa wanga.
Naomba msaada niepukane na hili janga jamani.
Mkubwa Mshana njoo huku msaada Kitabu cha Yoshua bin Sira (31:27-29) kinasema: ”Kwa wanadamu mvinyo ni kama maji ya uzima, ukinywa kwa kiasi. Je, anao uzima gani mtu asiye na mvinyo? Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu. Mvinyo ni furaha ya moyo na changamko ya roho, ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha. Lakini kunywa mno ni uchungu wa roho, na fedheha, na ugomvi.”ako ni muhimu sana hapa.
 

Haya maneno mawili kama yanataka kufanana kama hutakua makini
KUKABWA VS KUBAKWA
 
Dini gani wewe tuanzie hapo ili upate maelezo kulingana na Imani yako, kwa kukusaidia kama ni muislam hakikisha lala na udhu, pili soma ayatul kursiyu mara 7, ikhlas 3, falaq 3, Nnas tatu ukimaliza pulizia mikono yako ujipangusia usoni na mwili mzima, halafu lala... hizo qursiyu hata zikiwa 3 si neno.
 
tuma kitimoto alafu bakiza kakipande weka Chini ya mto
 
Back
Top Bottom