Recent content by mbeshere

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyaraka: Kashfa ya Richmond - Maagizo ya Lowassa na Uamuzi wa Serikali

    MW 100 au MW 106????? bona hizo dokezo zinatofautiana
  2. M

    JamiiForums Tanzania MwanaJF mwenzetu kavamiwa na wezi na kukatwa katwa Mapanga

    pole sana kiongozi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongera TRA kwa kuweka Kikokotozi ambacho ni user friendly

    Hivyo vikokotozi havijawi kusaidia wananchi , TRA huwa wanauplift bei gari, ili mkaa mezani hapo ndio hizo excel formula zinapokuwa kizungumkuti.Ili ushushiwe irudi kwenye normal price yako lazima ukate...dah wanakela sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

    Hivi mimi ninashindwa kuelewa hii nchi ,Eti mtu kutangaza nia , kushawishiwa ni kosa mpaka muda ufike? Muda upi? Sisi kama watanzania tulitakiwa kujuwa (hawa wagombea nia siku nyingi tena wawewameshajitokeza hadharani) haya mambo miaka 3 iliyopita kwanza tumechelewa.KIONGOZI wa nchi ni mtu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga dar

    vyumba vingapi mi na chumba 1-self,sebule na jiko lake ndani kwa ndani- eneo Mabibo hakuna dalali nicheki fmbeshere@gmail.com
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vitz bei nzuri milango 5 inahitajika bei nzuri

    niko masaki mkuu nicheki tumalize 0754432409
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vitz bei nzuri milango 5 inahitajika bei nzuri

    Njoo uchukue ninayo yenye specs zako zote ulizozisema lete 4.5m tu hakuna mazungumzo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa bei chee..Wazo!!

    comred, naomba unipigie tena nimejichanganya namba ya simu uliyonipigia jana, tafadhari nipigie nipate namba yako tupanga biashara
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ku reset password local machine windows 7

    Naomba msaada wa ku reset password local machine windows 7
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Mbezi Msakuzi Haijapauliwa

    TIQO Kiwanja hakina mgogoro kabisa mimi ndio mmiliki
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Mbezi Msakuzi Haijapauliwa

    Mkirua nitafute tuongee kaka sitaki dalali tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Mbezi Msakuzi Haijapauliwa

    Mkirua ina vyumba vitatu, kimoja master na pia kuna choo cha ndani ,dining na jiko iko kifamilia zaidi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Mbezi Msakuzi Haijapauliwa

    Wadau mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenye nauza nyumba yangu ambayo iko kwenye stage ya kupauliwa ukubwa wa kiwanja ni 20X34 iko juu mlimani kidogo bei inaanzia 24.5mil unaweza nipigia 0754432409
  14. M

    JamiiForums Tanzania Universal Moderm inaitajika

    Mi ninayoT-Mobile Web & walk ExpressCard III unaweza pata speed mpaka 7.5Mbps bei 150,000 (fixed) nipigie 0754 432409 kwa maongezi ya manunuzi tu ......sio punguzo na nyimbo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sensa ya idadi ya watu na makazi 2012

    Si watuhesabu kwenye kujiandikisha kwa ajiri ya Vitambulisho
Back
Top Bottom