Hizo Kiss, Capital fm, Classic ni za UK au copy and past? Those radio station can also be found in the UK. Can you confirm if those radio stations belong to Kunya? Kenyans don't own anything in their own country. Much of the land is owned by white farmers and businesses owned by indians...
Data uliyoweka not reliable source, sababu it's just a blog possibly from sellers of used cars in Japan. No reference to show where they obtained their unverified information!
Huyo ni racist wakuzaliwa. Alijifunza uracist tangu mtoto. Baba yake alikuwa katika kikundi cha ku klux klan (kkk). Kikundi hicho kina hostoria ya kubagua na kuua wamarekani weusi. Racist anaweza kujificha kimaslahi na kibiashara. Racist hakatahi pesa ya mtu mweusi hata kama anamchukia.
[emoji23][emoji23][emoji23] utalii wa slums! Kuna documentaries nyingi kuhusu slums za Nairobi, utaona wazungu wangi wanakwenda huko kwenye slums kuonyesha Kenya ilivyo. Kibaya zaidi, wakenya wanawaogopa sana wazungu.
Its sad and unintelligent of Kenyans being taken for a ride by the Chinese, yet they claim to be more smarter by mastering the English language than us. This obviously will teach them a lesson that speaking English does not make you smarter. Tanzanians are more smarter and creative than them...
Hajanizidi chochote. Niko happily married, watoto 4, nyumba mbili UK, nyumba 2 TZ. Biashara halali siyo kuibia watu ili niwazidi. Kakojoe ukalale sasa.
Huna lolote wewe, umejaa porojo tu! Alichokifanya mkuu wa wilaya kufunga sido ni sahihi kwa faida ya wananchi. Wewe unataka hasifunge wakati watu wanakahidi amri? Msipende kiki za siasa zisizo na kichwa wala miguu. Njaa tu inakusumbua wewe ndiyo maana leo hupo ACT Wazalendo kwenye siasa uchwala.
Train ya umeme au DIESEL!?[emoji1787][emoji1787]
You are just polluting the environment with worn out Chinese ngongongo. Ndiyo faida ya viongozi wezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.