Pole,sana, nenda kwenye ofic ya mkuu wa mkoa au mmbunge kuna mfuko wa kuwasaidia watu, ukijieleza vizuli unaweza dhaminiwa hospitall au unaweza lipiwa ,
Lkn andika usi mwingine uweke vielezo na namba unaweza changiwa hapa
Katika uchaguzi wowote ule ogopa,sana mtu anaetegemea ushindi nje ya sanduku la kupiga kura, ,
Uwe uchaguzi wa kisiasa,kidini mpila nk lkn mtu anaetegemea ushindi nje ya sanduku la kupiga kula huyo achana nae
Kila kitu unachokiona tanzania kimetokana na utawala wa ccm,
Miaka zaid ya hamsini ya uhuru hiji kubwa kama dar bado kuna changamoto ya barabara ,
Maika hamsini ya uhuru bado hatuna uhakika wa umeme,
Hakuna hata sekta moja ya selikali ambayo haina changamoto,
Leo hii tumeshondwa kudhibiti...
Mirathi hugawiwa watoto sio wajukuu, hapo labda kuwe na wosia tofayti na hapo hakuna sheri ya ninyi wajukuu kurithi hata kama ni watoto wa kiumeni, yaaani huyo babu yenu ni mzaaa baba ninyi hamna nguvu ya kurith mali
Habarii, biashara ya mashine imegawanyika,sehem mbili,
Kuwasagia watu mizigo yao ambayo wao wanakuja nayo wewe unasaga na kuchukua pesa,
Au
Unasaga mahindi na kuuza sembe,
Kama unataka kusaga vipeto vya wateja ninakushauli nunua mashine namba 75 hii ni rafiki sana upate mota hp...
Kuna vitu unaweza shabikia kwa sababu unavisikia tu,
Lkn kama angetekwa mzazi wako au ndugu yako wa karibu ndio ungejua jinsi gani familia zinapita magumu
Hii kesi ina muda mrefu sana,
Jamaa aliepewa ya kutrak cm ya tundu na kuwapa taarifa watu walihitaji taarifa za lisu kufukuzwa kazi ktk mazingila tatanishi na pia hajalipwa ,
Sasa hii kesi ilitakiwa iwe nje ya mahakama lkn imeshindikana ,
Mpka sasa jamaa ametoa ushahidi wote kuhusu hii tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.