Recent content by mbelwaz

  1. mbelwaz

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    KUTANA NA TAMTHILIA BORA ZA KITABIBU/UDAKTARI NCHINI KOREA 1.ROMANTIC DOCTOR TEACHER KIM Doctor Kim ni Muajiriwa katika kitengo cha upasuaji nchini korea katika hospitali moja maarufu,anaamua kuondoka katika hospitali Huyo baada ya kufukuzwa kwa kile kinachodaiwa ni makosa ya kitabibu...
  2. mbelwaz

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Swadakta na pia grim reaper 444 ndiye competent gream reaper dunia nzima
  3. mbelwaz

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Aseee pole lkn ungebadili vyuo ujinga wa degree wanatulazimisha kusoma course zisizio na tija maana kupata unachokitaka ni ngumu kama umesoma science nakushaur tafuta diploma ukatulie zako maana hata loan ss hivi ni mzk 11+10 tayar ni watu 21 wanabaki elf kumi BT what if round ya 3 mambo...
  4. mbelwaz

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Damushin Mimi naona while you were sleep angekuwa bae Suzy pekeee ndo anaona future ingekuwa tam zaid maana wengi hivyo MTU unaona kabisa kama uongo
  5. mbelwaz

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    TAMTHILIA TATU BORA ZINAZOENDELEA HIVI SASA KOREA BLACK Black ni jina la askari mpelelezi ambaye amechukuliwa mwili wake na malaika mtoa roho,ha rim ni msichana mchangamfu mwenye uwezo wa kuona vivuli vya vifo vya watu.Je black na ha rim wanapoungana na kuzuia vifo hivi watafanikiwa?je yapi...
  6. mbelwaz

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mwaka huu ameigiza nyng sana huyu crazy dog kuanzia criminal mind akienda kwa jina la riper alikuwa serial killer,strong woman do bong soo akiwa member wa genge la wahuni,while you were sleep prosecuto na hapa black kama crazy dog
  7. mbelwaz

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Dramacool na drama3s huwa hawacheleweshi
  8. mbelwaz

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Leo naanza black
  9. mbelwaz

    Wenye Division III wamepata chuo?

    Hyo ni uongo watu wamepelekwa mpaka round ya tatu na div2 tena wameapply edcn
  10. mbelwaz

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Drama Kali za serious zinapatikana OCN kuanzia tunnel,save me,voice,vampires prosecutor na nyngne nyng,drama za kutisha kama kawa ni TVN
  11. mbelwaz

    Nmechaguliwa UDOM educaton lakin siipend

    Udom hawakubaligi MTU abadili course
  12. mbelwaz

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Oh may geum bi na father I'll take care of you zinafuatana
  13. mbelwaz

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kabisa haikuwa inashawishi sana
Back
Top Bottom