EVARISTO MNG'ONG'O
Member
- Jul 30, 2012
- 42
- 23
Kwani si uliomba mwenyewe? Tuondolee mambo yako
Wengi maneno ya mitandaon yanawapotosha sana.ila wakifika ukwel wanaujua.Unaijua Udom wewe au unasikia maneno ya mitandaoni ? , ni chuo kizuri kuanzia mazingira mpaka taaluma , Nina uhakika ukifika Udom hautajuta kama kuhama ndani ya udom kwenda kozi unayoipenda inawezekana kabisa
Good observationWakti unachagua uliomba ushauri?
Waliokutangulia kusoma hiyo education 97% yao pia hawaipendi ila walichagua kwa sababu ya urahisi wa ajira. Sasa ww una majanga mawili huipendi na hakuna ajira zile za ubwete za JK. Pambana na hali yako. Na kwa urasimu wa UDOM ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko kubadili program (hasa kutoka Education kwenda zingine). Tafuta chuo kingine tu.samahan wadau mimi nmechaguliwa udom education lakin siipend nmben ushaur wa coz zngne au namna nyngne
Waliokutangulia kusoma hiyo education 97% yao pia hawaipendi ila walichagua kwa sababu ya urahisi wa ajira. Sasa ww una majanga mawili huipendi na hakuna ajira zile za ubwete za JK. Pambana na hali yako. Na kwa urasimu wa UDOM ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko kubadili program (hasa kutoka Education kwenda zingine). Tafuta chuo kingine tu.
hapana, infrustructure iko perfect lkn academics hapana. Hovyo kabisa. Hakuna elimu ya University level! Ni kwa vile huna pa kufanya comparisonUnaijua Udom wewe au unasikia maneno ya mitandaoni ? , ni chuo kizuri kuanzia mazingira mpaka taaluma , Nina uhakika ukifika Udom hautajuta kama kuhama ndani ya udom kwenda kozi unayoipenda inawezekana kabisa
sikushauri ukapoteze miaka mitatu bure.... course yenyewe education ? huoni wenzio wako bench tangia 2015? na mpaka sasa hawaijui hatma yao ? tumia ubongo kufikiria na sio makalio....

Mbona kuna watu wengi Mimi nawafahamu wamesoma udom..na wanafanya kazi zao vizuri na kwa ufasaha..na mafanikio yanaonekana?hapana, infrustructure iko perfect lkn academics hapana. Hovyo kabisa. Hakuna elimu ya University level! Ni kwa vile huna pa kufanya comparison
ulitumwa uiombe km huipendi.... elimu uliyoipata bado haijakukomboasamahan wadau mimi nmechaguliwa udom education lakin siipend nmben ushaur wa coz zngne au namna nyngne
Huo uovyo umetumia vigezo gan?hapana, infrustructure iko perfect lkn academics hapana. Hovyo kabisa. Hakuna elimu ya University level! Ni kwa vile huna pa kufanya comparison
T,S,R,Q,P dah natamani nirudi tena nipate boom ,dogo kasome education acha mbwe mbwe![]()
Hapa ndo udom collage of education block T
Kama kweli unataka ushauri, mm naomba utambue mambo yafuatayo:-Kwa wale wenyeji wa udom, plz Naomba kuuliza, kama umechaguliwa kozi ya elimu na unapenda kuhamia afya, nursing, na una vigezo vipi waweza kuhama? ,,,nawasilisha
kasomee hotel management & hospitality pale Amazon college itakufaasamahan wadau mimi nmechaguliwa udom education lakin siipend nmben ushaur wa coz zngne au namna nyngne
AsanteeeeeKama kweli unataka ushauri, mm naomba utambue mambo yafuatayo:-
1- Vyuo vikuu vyote nchini vina utaratibu wa mtu kubadili program, hua unatolewa na vigezo vya mtu kubadili kulingana na nature ya program pamoja na ufaulu wako ktk program unayoitaka.
Hivyo kuhusu uhamisho usihofu, fatilia taarifa, zingatia maelekezo, kua punctual; everything will be good.
2- Ubora wa chuo;
hii ni kwa wana JF wote:
Ikumbukwe kua mwanzani mwa mwaka 2017, tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) walifanya uhakiki wa vyuo vikuu vyote nchini ambapo walihakiki vyuo na wanafunzi waliopo ktk vyuo hivyo,
Baada ya muda walirudia uhakiki na baadae ilitangazwa orodha ya wanafunzi hewa na wasio na vigezo.
Kama sikosei, UDOM kulikua na wanafunzi 8 ambao hawakua na sifa, UDSM 52, the leading akiwa SAUT na MZUMBE waliokua na 1000's ( I stand to be corrected).
Baada ya hapo TCU kwa kushirikiana na wizara walifuta vyuo 19 ambavyo vilionekana kutokidhi sifa.
Kwa maana hiyo, vyuo vikuu vyote ambavyo vilihakikiwa na kuruhusiwa kudahili wanafunzi vimethibitika kua bora na kukidhi vigezo vya kuo vyuo bora.
3- Ranking,
Tutambue kua kila chuo nchini kina mtaala (curriculum) tofauti na chuo kingine, hivyo hakuna ranking iliyowahi kufanya ikiwa hata na 20% academic base.
Ktk ranking wanazingatia:
Number of professors
Number of search engines
Popularity n.k.
Vyote hivi hutegemea umri wa chuo.
Hata hivyo ukisoma ranking zilizonyingi mwishoni hutanabaisha kua ranking ile isitumike kujaji academic excellence among different universities.
Hata hivyo, UDOM ni number 5 kati ya 47 kwa Tanzania, ikiwa imekamilika kwa 40% pekee kutoka 2007,
However, UDOM is named as the first and best growing University in East and Central Africa.
Kwa mwenye uelewa, ataona,
The excellence and speed of the growing giant: The University of Dodoma.
4- Faculty,
Hapa tutazingatia vitu vikuu viwili,
Cha kwanza usomaji na Ubora wa elimu utakayoipata.
Kwa uzoefu wangu nchini, kwasasa hakuna chuo nchini kinachotoa walimu wazuri kama UDOM.
Udom is the leading ikifuatiwa na SAUT kwa program za education.
From content to discipline wako vzr.
Upande wa pili ni wa ajira.
Hapa pako wazi tu, inabidi ujifunze zaid entrepreneurship skills, ambapo pia UDOM na Dodoma kwa ujumla ni favourable kwa entrepreneurs.
NB:
-Elimu Tz bado iko nyuma that's why vyuo vyote Tz hakuna ata kimoja ambacho kipo ktk best 10 za Africa, wala 20 hata 30.
-Kuna watu wamesomea shule za kata hivi sasa ni International figures na wakati huo kuna watu wamesoma international schools na hivi sasa ni ma-admin wa magroup ya wasap na waanzisha mada kabambe JF
-Ubora wa elimu yako utapimwa kwa kuzingatia msaada wako kwa Familia na Jamii yako na si vinginevyo.
Ni hayo tu: kasome ukikumbuka kua familia yako na jamii yako vinakutegemea: hatutohitaji kujua umesoma chuo gani na kina Ubora gani bali tunahitaji kuona ukiisaidia jamii kwa nidhamu, amani na matumaini.
Asante