Nmechaguliwa UDOM educaton lakin siipend

Nmechaguliwa UDOM educaton lakin siipend

Nyie ndio mliosababisha huu ujinga wa kuomba vyuoni....kozi na vyuo mnaviomba wenyewe badae mnalaumu tcu kwa kuwapangia...
 
Sema umechagua na sio kudanganya eti umechaguliwa, pili umechagua ualimu tena udom, kwa hizi zama tafuta plan b mapema tena kupitia hako kabumu kako toka heslb, tofauti na hapo labda usubiri utawala wa awamu ya 6 ndo uajiriwe. Tuko intake zaidi ya tatu mtaani mpk sasa. Chkua hyo.
 
Akili za watoto wengine bana kwa hyo hicho kimekufanya uje ufungue thread huku kwani wakati wa kuchagua kozi we ulikuwa wapi

Mimi ningekuwa tcu msimu huu wa kujichagulia nisingeruhusu mtu kubadili alichochagua, tena ngazi ya elimu ya juu wallah nisingeruhusu huu ujinga.
 
  • Thanks
Reactions: snn
hapana, infrustructure iko perfect lkn academics hapana. Hovyo kabisa. Hakuna elimu ya University level! Ni kwa vile huna pa kufanya comparison
Acha mawazo mgando nenda kwenye field utaona jinsi walimu wa udom wanavyowanyoosha watu.acha idea za kimaskini Fanya tafiti kabla ya kuongea.mm s mwalimu wa udom lakin nimeziona product zao
 
samahan wadau mimi nmechaguliwa udom education lakin siipend nmben ushaur wa coz zngne au namna nyngne
Pambana na hali yako kwanza una boom sio unafungua uzi hum hata boom huna et hupend education au unafikir education easily soma ww acha utoto,,, au Kalime!!
 
samahan wadau mimi nmechaguliwa udom education lakin siipend nmben ushaur wa coz zngne au namna nyngne
Umechaguliwa tu hukuomba!!??
Kama uliomba ulikuwa huna uhakika na ufaulu wako!!?? Je, ufaulu wako ni mzuri kiasi cha kukupa uhuru wa kuchagua kozi yoyote? Inawezekana umechaguliwa hiyo kwa sababu hufit sehemu zingine. Huo ndo ushauri wangu.
 
Dogo nenda udom, wahi mapema kunataratibu za kuhama kozi ndani ya college nia ni simple, ila kuhama college ni ngumu sana na inahitaji huruma ya dean. La sivyo piga moyo konde tumikia kozi ya ualimu, elimika uje mtaani ujiajiri kwa elimu yako ila sio kusubiri kuajiriwa..

Pole sana muwe makini siku nyingine, enzi zangu nilijazaga kozi tatu tu katika hizo nilikua na uhakika na moja tu na nikachaguliwa hiyo hiyo
 
Mtu mwenyewe failure umebahatika ualimu afu unalembua kafie mbali.
 
Back
Top Bottom