Recent content by Mbelajr2023

  1. M

    JamiiForums Tanzania Heche kumtunishia misuli msajili wa vyama – analazimisha CHADEMA kufutwa?

    Imesomeka.......tukumbuke haki huinua Taifa!!!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Asili haiongopi: Kuna namna CCM wameanza kuongea lugha ya CHADEMA

    Naomba tumjue jina lake huyu ajengewe mnara🙏🙏
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakukuwa na ulazima wa kumkamata Tundu Lissu na kumfungulia mashtaka ya uhaini. Yamefanyika Makosa ya kiufundi. Gia ipi itumike kumuachia?

    Habari Mtiberi Nimeusoma Ujumbe pamoja na ushauri ulioutoa.Jambo moja ni dhahiri kwamba Kwa macho ya haraka kile kinachoendelea ndani ya CHADEMA kama Lisu kukamatwa na kushtakiwa,wafuasi wake kukamatwa kupigwa na wengine kutekwa,G55 kujitokeza ni kama CCM Na serikali yake inahusika Lakini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!

    Mzee Paschal hatujaona bandiko lako la hekima na busara juu ya sakata linaloendelea Mbelajr
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kisaikolojia; Watu wanaoonyesha Kujali mbele za watu ndio Wakatili na wale wenye kutoonyesha kujali Mbele za watu ndio wenye Huruma

    Hivi mtibeli haya madini yote unayapata wapi??? Maana unausema ukweli mchungu ambao waafrica wengi wasingependa kuusikia..............
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA na hatima ya kiti cha mwenyekiti

    Habarini wana jukwaa wa JF. Ni wiki chache sasa Zimebaki CHADEMA waingie katika UCHAGUZI wa viongozi wao wakuu wa chama.Hii ndio tafakuri yangu. 1)Lissu anaungwa mkono na idadi kubwa ya wanachama pamoja na wengine wasio wanachama,je hii inaweza kumfanya apate ushindi katika UCHAGUZI? 2)Mbowe...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

    Wewe na wewe nini kimekushinda?? Mwambie kesho utamkabidhi kurasa zake 20.Harafu nenda bank ukakope pesa nunua gari siku unamkabidhi more bank statement ya mkopo na umwambie kuanzia leo ni mwendo wa utokwenda saloon na ugali maharage mpaka mkopo uishe miaka sita.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Compare & Contrast kutekwa kwa Abdul Nondo Vs Mzee Kibao: Watekaji hawa ni Malaika, wale ni mashetani! Tuwashukuru kwa uhai wa Nondo au tuwalaani?

    Ni katika pilikapilika za mtu mweusi,tumuombee kijana apate ahueni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi/ ajira

    Njoo inbox tafadhari
  10. M

    JamiiForums Tanzania Police Clearance Form kwenye account ya Ajira Portal inatakiwa ikae kwenye category ipi?

    Vijana changamkieni fursa hizooooo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Najiulizaga swali hili

    Wewe utakuwa mpiga ramli chonganishi.........wqnakuzoom tuuuuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Huu mjadala umeshaisha wassup,new ceo in town apewe maya yake mitano tena
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fortunatus Buyobe, nini kinamsibu?

    Ndugu Wana jukwaa wasalaam!! Nimechungulia mtandao wa X almaarufu Twitter nimekutana na bandiko la BUYOBE akieleza tukio la Kijana raia wa Msumbiji kuhamia Afrika Kusini na kuwa kibarua mtiifu kwa Serikali ya makaburu kabla hajageuka na kuungana na wazalendo wenzake weusi kupigania haki zao...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Fortunatus Buyobe ni nani na anapata wapi taarifa nyeti?

    Kwani mleta uzi yeye anataka nini hasa???
Back
Top Bottom