Hili jambo mnalishabikia kwa sababu zenu mnazozijua nyie. Umeme ndiyo msingi mkuu wa maendelea kwa nchi yoyote. Jenga bandari kila kona ya nchi kama huna umeme wa uhakika bandari zako ni bure. Umeme wa uhakika ndiyo chanzo kikuu cha wawekezaji kuwekeza katika nchi yoyote.
Mbona nchi wanazovaa barakoa ndiyo watu wake wanakufa kwa maelfu? Nyungu ndiyo suruhusho wa hili janga. Isingekuwa nyungu mimi tayari ningekuimbiwa nyimbo za kuniaga.
Siku 100 za uongozi wake mshahara umechewa kwa siku 4. Kwa mahesabu ya haraka haraka siku zilizosalia katika uongozi wake ni zaidi ya siku 1200. Hivyo kwa watu wangu wa hesabu watapata jibu kwamba hadi anahitimisha uongozi wake watumishi watakuwa wamechelewa kuchukua mshahara kwa siku ngapi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.