Recent content by mbedo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Sitta Kuonyesha Ushupavu katika Katiba, Jee Tumpe Nchi 2015, Ili Aisimamie Katiba Mpya ?

    You can't be serious! Huyo 6 hata kuwa balozi wa nyumba kumi hafai.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sitta: Tuna wakati mgumu

    Huyo jamaa ameshamalizwa na wagombea uraisi wa sisiemu.Mwenyewe wakati anakabidhiwa majukumu ya kuwa mwenyekiti wa bunge la katiba aliona keshamaliza kila kitu kumbe amekalia kisu chenye makali ya pande mbili na anajikata mwenyewe.Kwa lugha yetu ya kimawia "lIBYALE MWENE SITTA".
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kipima joto ITV: 88% wakataa Rasimu inayopendekezwa na Bunge Maalumu ya Katiba

    hapana! rasimu hiyo haitokani na maoni ya wananchi.Wapenda nchi yetu ya Tanzania tuikatae rasimu hii ya Samwel Sitta.
  4. M

    JamiiForums Tanzania President did a big mistake as a symbol of nation

    Tanzanians' politicians think that,they are critical thinkers compared to their subjects.They think that, only them can give the citizens the best choice.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Poor politics is the result of poor political leaders in Tanzania

    Leadership in Tanzania is quite simple that is why every prominent political figure in the ruling party seek for it.We have January Makamba,Samwel Sitta,Wassira Nchemba,.............,...........,..............,.................,..................... the space is not enough and this is your quiz...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Serikali (Werema) na Sophia Simba nusura wazichape kikaoni

    Naunga mkono uraia wa nchi moja,ila siungi mkono hasira za Werema anapotoa hoja zake huyu jamaa ni wa ajabu sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnaomtanguliza Wassira mnayajua haya?

    Nchi hii kweli tumefilisika kisiasa!Hivi kweli Wassira ni mtu wa kuzungumziwa kuichukua ofisi kuu ya nchi hii? Kweli Tanzania urais umekuwa rahisi sana kwa kila mtu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Warioba: CCM ijiandae kuwa chama cha Upinzani

    Hakuna kipya alichosema Warioba.Hilo lichama linasubiri kuzikwa tu,hayo yote yanajulikana tangu enzi ya akina Kolimba kazi kwetu watanzania wapenda mabadiliko kuitimisha tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Elimu nchini ipo mahututi

    Elimu ya Tanzania inasubiri kuzikwa.Hamna kitu,tumechagua siasa na uganga wa kienyeji kuwa vipaumbele vyetu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya husishwa na kifo cha mkurugenzi EWURA

    Umesahau mabilioni yaliyofichwa Uswisi.Nchi hii siyo masikini hata siku moja bali walioko madarakani wanachukua chao mapema.Chezea sisiemu weye.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni kauli ipi ya kiongozi iliyowahi kukukera kuliko zote?

    Kauli namba tisa ilitolewa na Malecela Samwel aka Tingatinga.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sheria gani ilimruhusu Salma Kikwete kufanya mkutano wa siasa Kusini?

    Hatutajua chochote kile iwapo hatutahoji na kudadisi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

    Huyo hakuwa mtu wa kumsikiliza kabisa.Sisiemu ni mufilisi kabisa hawana hoja zenye mashiko.ujinga wa watanzania ndiyo mtaji wao.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tunawatii CCM bara kwa kuwa wanatuhakikishia kubaki madarakani

    "Yule anyekubali kudhulumiwa na kuonewa ni mbaya kuliko yule anayedhulumu na kuonea".Muhammar Ghadafi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mahmoud Mgimwa, ashindwa kutaja majina ya watuhumiwa wa ujangili

    Tumsubiri Msigwa pengine atawataja ila sisi sisiemu siyo utamaduni wetu hatutawataja ng'oo mtatufanya nini nyinyi watanzania wachovu? niwakumbushe:Tuna orodha ya wauza sembe,tuna orodha ya majangili,tuna orodha ya wakwapuaji wadogo wa epa,tuna orodha ya waliotuhifadhia mabilioni yetu Uswisi...
Back
Top Bottom