Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Mimi natoa Mill 20, kwa Mbowe na Mnyika wakipata 20 kati ya 100 ntawapa bure hiyo hela.
ita ukoo wenu wote msaidiane kuunganisha akili yenu; hamtafikia hata nusu ya IQ ya Mnyika. Kama unabisha muulize mama kiroboto!!Mimi natoa Mill 20, kwa Mbowe na Mnyika wakipata 20 kati ya 100 ntawapa bure hiyo hela.
Sina imani kama utamhoji Waziri wa elimu tofauti ya Ideology, philosophy na Policy ya elimu yetu hapa Tanzania akupe majibu sahihh. Kuna uwezekana akajibu ideology ni education for self reliance na akakuambia pia Philosophy of education ndio hyohyo na ukamuu Arusha declaration nayo ni nini akakujibu utumbo. Kwa hali ya hii ya kutegemeza majukumu kwa watu wasiokuwa na ujuzi nao ndio inayopelekea taifa letu kudidimia kielimu. Waziri mzima asiejua kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kinyume anasema ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe kiukweli hakustahili kabisa kupewa wizara nyeti kama ya elim t. Taifa langu linaelekea kuzimu kwakweli.
Mbunge James Mbatia amepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la elimu nchini kwa kutoa ofa ya Tsh milioni 10 kwa profesa yeyote wa hesabu atakayefanya mtihani wa hesabu wa drs la saba (NECTA 2014) na kupata alama zote (100%).
Wakatia akichangia hotuba ya Wizara ya Elimu bungeni, Mbatia alisema kwamba mtihani huo ulitungwa ovyo kabisa ambapo maswali 31 kati ya 50 ni magumu sana kwa wanafunzi wa darasa la saba, 11 hayana majawabu na 4 yamekosewa. Mbali na somo la hesabu, masomo ya kiswahili na kiingereza nayo yanadaiwa kukosewa.
Source: Mwananchi
NYONGEZA:
Nilibahatika kuona mtihani wa majaribio wa hesabu na kiingereza wa mwaka 2012, ambao nakala yake imo humu JF. Mtihani huo ulikuwa na makosa mengi ya kiufundi na maswali mengi hayakuwa na majawabu.
MAONI YANGU:
Elimu yetu ipo ICU. Haya yote yanachingiwa na serikali yetu kuchanganya elimu na siasa kwa manufaa yao binafsi.
Nini kifanyike ili kuokoa jahazi la elimu yetu linalozidi kuzama kila mwaka. Tujadiliane jinsi ya kunusuru elimu ya watoto wetu.
Mkuu CHAMVIGA upo aiseee, karibu sana UKAWA..
Mimi natoa Mill 20, kwa Mbowe na Mnyika wakipata 20 kati ya 100 ntawapa bure hiyo hela.
Tatizo ni kutojali kama elimu yetu ni bora au ni bora elimu,na sababu kubwa watoto wao wanashule zao na watoto wanashule zetu.Kwa hiyo haimusumbui kama mtoto wako au wangu anapata elimu iliyobora,kwani wakwake yuko ughaibuni akirudi aje kutawala na atapewa jimbo la baba yake,ndiyo tumefikishwa hapo.
Mimi natoa Mill 20, kwa Mbowe na Mnyika wakipata 20 kati ya 100 ntawapa bure hiyo hela.
Mimi natoa Mill 20, kwa Mbowe na Mnyika wakipata 20 kati ya 100 ntawapa bure hiyo hela.
Mkuu katika hesabu, "swali kutokuwa na jibu PIA NI JIBU", kama wewe ni mwana mahesabu utanielewa. Pia hata kugundua kuwa swali limekosew pia ni JIBU.
Sitetei madudu ya necta but unapoutoa mtihani nje ya std seven ukauleta kwa wataalamu wa hesabu, hakuna swali ambalo litakosa jibu. Kuanzia form six (kwa level yetu) kwenda juu, hesabu zote zina majibu, swali likikosewa jibu lake ni "swali limekosewa" uki calculate ukaweka jibu la uongo umekosa, kama swali halina jibu (infinity) jibu lake ni "infinity" ukiweka jibu umekosa. SASA mbatia kuwaingiza maprofesa hapo anataka kuleta ubishi tu wa kutoa pesa
mkuu wakati mwingine uwe na tabia ya kutumia akili katika kufikiria.
Mkuu BAK hao wote wanaoongea watoto wao hawako katika hizo shule za kata wala hawapiganii kuksoma kitabu kimoja watoto watano wala hawana shida ya madawati na wanafanya kila wawezalo kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata elimu bora ili waendelee kututawala maana wa kwetu hawatakuwa na elimu yoyote