Recent content by mbeche

  1. M

    Kuvamiwa kwa Clouds: Kamati ya Nape yamjibu Dk. Mwakyembe

    Mheshimiwa wa habari hawezi kumsaliti kijana wa call me j kwa sababu yeye ndo alimfanya kijana akafahamika kwa marehemu six na ndo kama nyota yake ilianzia hapo. hivyo haitatokea mh akawa kinyume na kijana wake tegemeeni mchezo wa kuigiza
  2. M

    Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    kijana wa call me j alishasema safari yake yote ya kufahamika ilisababishwa na mheshimiwa mpya wa habari pale walipokutana akampeleka kwa marahemu six .hivyo vyombe vya habari vitalazimishwa tu kuandika habari zake subiri muda utasema, maana yeye ni mtu wake pengine yeye ndo kapendekeza kwa...
  3. M

    Josephat Elias Mwingira: Serikali ya Tanzania haitapata mafanikio kamwe

    Biblia inasema yesu aliwafanya wengine kuwa manabii, wachungaji, walimu, ili kuwakailisha watakatifu .pinga na hilo basi
  4. M

    Hatimaye Mheshimiwa Rais Magufuli kutembelea Kagera, Wapinzani mtakuja na ngonjera ipi tena?

    kama kuna kitu kizuri watu watasema pia kama kuna kitu si kizuri watasema
  5. M

    UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

    uongo rafiki wakaati wanatoka hewani zilikuwa milion kumi na saba kwenye mtandao achilia mbali zilizokuwa zimeshawasilishwa cash ukumbini millioni thelasini . Pole kwa uongo na leo wametangaza zimefika millioni 80
  6. M

    Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

    ndg punguza mhemuko mbona na mimi nilikuwepo hao watu wamejiunga saa ngapi wakati hata mgombea urais amesahau kuwatambulisha madiwani na kuwaombea kura jitathmini mambo yenu mwaka huu si mazuri
  7. M

    Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    ndg unachokiongea inaonyesha jinsi gani usivyofanya utafiti ndipo useme unatutia wasiwasi na kuchambua kwako mambo,
  8. M

    Viongozi wa dini kemeeni kauli hizi

    nafikiri ushabiki mwingine sasa umepitiliza ugonvi wa madhehebu haya umeanza lini mwogopeni mungu
  9. M

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    kuigiza kuwa wewe ni kawa haisaidii kubadili walichokwisha amua watu maana kinachotakiwa ni mabadiliko waliohudhuria jana ni sehemu ndogo sana ya wapiga kura wote
  10. M

    Jaji Sinde Warioba kanishangaza

    ulichosema ni kweli hata wakati anapigwa na makonda rais alitamka kule mwanza akiwa gold crest kwamba wazee wengine wanajitakia kupigwa. na kule bungeni hata wale wa darasa la saba B walimtukana
  11. M

    Mgana Msindai vs Wilbroad Slaa

    wanajamvi jana mzee warioba alionekana pale jangwani akitetea CCM MASWALI YA KUJIULIZA JE? 1.ccm hao ndo waliomtuma makonda akampiga warioba pale ubungo 2.mh rais alishabikia kitendo hicho alipokuwa mwanza anaongea na awatu wa anti corruption eti wazee wengine wanajitakia kupigwa wenyewe 3.mzee...
  12. M

    Kikwete ndio aliyempigia simu Magufuli akachukue fomu ya Urais

    ndg kama kauli ya Rais ndo ikisema inakuwa ni mara ngapi amesema na haikuwa alisema tutapata katiba kabla hajaondoka madarakani , hatujaiona alisema tutapiga kura za maoni mwezi april leo ni mwezi wa nane mbona haijawa. nadhani unatawaliwa na mapenzi badala ya uhalisia
  13. M

    Maoni ya J. Mtatiro: Akina Butiku si wakweli kuhusu Lowassa

    nakuunga mkono mtatiro hawa wazee walifikiri lowasa hawezi kuhama hivyo wanahofia akipata urais nje ya ccm atawaumbua na madudu yao . najua watanzania sasa wanelewa hivyo najua watafanya kweli kwenye saduku la kura .CCM waache mbinu zao za kulazimisha ushindi
  14. M

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    kila kitu na wakati wake ccm inabidi wajue kwamba muda wao wa kutawala umefikia mwisho ni sawa na mwanamke ajaribu kumrudisha tumboni mtoto aliye tayari kutoka haiwezekani
  15. M

    Polisi wapiga marufuku maandamano kwa vyama vya siasa

    lakufa halina uvumba ccm imekwisha
Back
Top Bottom