Broo dunia ndio hii na bora ukaowa leo kuliko uje kuowa huko mbele ndio baraaa zaidi bora sasa hivi mwanamke anaakaa japo mwezi huko mbele itakuwa ndoa jioni kesho asubuh anaamkia kwao na taraka kwahiyo usiogope na wew jitose hakuna atakayekushangaa ndio dunia imefikia stage hiyo
sasa mkuu huko SI kula tunda kimasihara kabisa Broo ila kacheki afya maana wengi JF wameungua tayari wanapata maliwazo TU then mbona wepesi sio kama wew unavyochukulia
MILANGO YA BWAWA LA UMEME, TANI 26, KUKODI WICHI TOKA NJE, NIKUTUPIGA WATZ NA KITU KIZITO
Watu wengi wameonekana kushangazwa na maelezo ya Waziri wa sekta husika baada ya kujibu hoja mbungeni kuhusu maendeleo ya mradi wa bwawa la umeme Lililopo kati ya Rufiki na Morogoro.
Ambapo Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.