Recent content by mbazangungu

  1. mbazangungu

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna sheria inaruhusu au kukataza binadamu kumwita mwenzake KAFIRI?

    Mm n mgalatia Ila sijawahi jisikia vibaya kuitwa kafir huwa nashangaa mtu akiweweseka kuitwa kafir na siumii maana Dini n kitu ambacho sikipi uzito maishan
  2. mbazangungu

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Huwa sielewi logic ya kuwa na picha za uchi sema tunatofautiana Ila binafsi stipend kuhifadhi vitu vingi kwenye iwe Siri au nn so nipo clean hata magroup sina labda Kama n muhimu nipo huru hata nisipo weka lock hakuna kitu Cha hovyo mtu ataona ,watu wanajisahau sana
  3. mbazangungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kudumu katika ndoa

    Aseee wee jamaa umenigusa kabisa hz scenario nimeziface Sana
  4. mbazangungu

    JamiiForums Tanzania Oman Kutoa Ajira Kwa Watanzania. Nauliza Mnataka au Hamtaki Kazi Oman?

    Nimeona Kwan hata huku kwetu haya mambo ya unyanyasaji kazini hayapo
  5. mbazangungu

    JamiiForums Tanzania Oman Kutoa Ajira Kwa Watanzania. Nauliza Mnataka au Hamtaki Kazi Oman?

    Thanks na ku pm chap kwa msaada zaidi
  6. mbazangungu

    JamiiForums Tanzania Oman Kutoa Ajira Kwa Watanzania. Nauliza Mnataka au Hamtaki Kazi Oman?

    Middle Eas Middle East is Hell on Earth
  7. mbazangungu

    JamiiForums Tanzania Oman Kutoa Ajira Kwa Watanzania. Nauliza Mnataka au Hamtaki Kazi Oman?

    Umenifumbua macho Asante kwa maelezo yako Ila Nina swali pamoja na hayo yote ,ya kufuata utaritibu je Kuna uhusiano gan na kumtesa mtu kisa hajafuata protocol ?
  8. mbazangungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimelichoka penzi la huyu dada wa kizungu

    😂😂😂😂Sema tunapangana sanaa humu mm pia nimewaza hii ni ofisini au kikundi
  9. mbazangungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimelichoka penzi la huyu dada wa kizungu

    Upo sahihi ndio maana badae watu huwa tunaona ni chai sababu ya staili inayotumiwa aaah jau sanaa anakuwa Kama umughakhaaa
  10. mbazangungu

    JamiiForums Tanzania Raia 7 wa Kigeni wachomwa moto wakiwa hai katika Jiji la Johannesburg, chini Afrika Kusini

    Kabisa ikiwezekana watawale zile mbuzi kwa Miaka Kama 50 pengine baada ya hapo zitastaarabika
Back
Top Bottom