Nimelichoka penzi la huyu dada wa kizungu

Hello wakuu,

Kwanza niseme ukweli mie sio mzuri kwenye kuandika so mtanisamehe Kwa uandishi wangu.

Ilikuwa 2019 katikati, tulitangaziwa ofisini kwetu hapa mkoani, kuwa shirika litaleta member of staff kutoka nje. Basi by July yule member of staff alikuwa kashaingia nchini na kuanza kazi. Alikuwa dada mmoja kutoka North Carolina Marekani. Kazini alikuwa boss wetu. Tulimkaribisha vizuri ni mtu poa na mchangamfu.

Kipindi icho Marekani kulikuwa kunawaka moto Kwa upande wa siasa. Raisi Trump na speaker Pelosi, mara Biden, mara Mitch McConnell, mara Chunk Schumer n.k nilikuwa nafatilia sana siasa za US. Kufatilia kwangu siasa za US kulinifanya niwe namuuliza boss huyu dada mzungu masuala ya siasa za Marekani. Kumbe na yule dada ni mtu wa siasa sana. Aliniuliza namkubari nani kati ya Trump na Biden nkamwambia namkubari Trump hapo ilikuwa early 2020. Alifurahi kichizi kumbe yeye ni mpenzi kindakindaki wa Republican. Basi nilijikuta nazoeana na boss kinyama kupitia kufatilia US politics.

Kazini boss alikuwa serious lakini kama Kuna u-free tulikuwa tunapiga story. Yule dada alinizoea sana na mimi nkamzoea, nilikuwa sijawai kumtamani Wala kumuwaza kimapenzi, weekend alipokuwa anapika American food alikuwa ananialika kwakwe kula, nilikuwa namkwepa maana ni boss. Alijitahidi sana awe beneti na mimi lakini nilikuwa sitaki, kama mazoea yaishie kazini. Yule dada hakukoma alionekana Kuni trust mno na kuwa ananipa offer za lunch, dinner n.k.

Basi nkaona hisiwe kesi nkaanza kujiachia, mazoea yaliendelea kuwa makubwa, siku Moja aliniita kwake, ilikuwa jumapili, nilienda kufika kwake nkakuta kandaa mazaga kama yote alikuwa anapenda sana wine. Basi nilimpa kampani, dada alikunywa sana akawa kama kalewa, ilipofika saa tatu usiku nikamuaga kuwa nasepa,,, la au laa, dada alini-hug na kunikula mate uku akitamka mto wa mbu I love you. Nilipagawa vibaya mno nilikuwa kama zezeta maana sikutegemea boss kunitamkia Yale maneno. Nilimuaga na kwenda nyumbani

Itaendelea...
Tuendelee.....

Basi baada ya kufika home ni kama nilikuwa nimepigwa na shoti ya umeme, yaani sikudhani kama huyu boss ange fall in love kwangu, pia niliogopa mno maana mapenzi kazini sio poa na pia je nikimkataa boss kibarua changu kitakuwaje?

Basi kesho yake kazini boss alikuwa kauzu kinyama utadhani siye aliyenipiga midenda Jana yake. Sikuwa na amani kabisa. Basi weekend ilipofika boss akani-invite kwake, ikabidi niende ndo kufunguka, yule dada anafunguka uku kakukazia macho,, aliniuliza kama Nina girl nkasema Sina wakati nilikuwa na baby girl wangu nampenda. Basi ilibidi nimkubalie maana ni dada mmoja mrefu, good figure na potable. Tukawekana sawa kuwa kazini hakuna kuonesha mapenzi. Huwezi amini huyu dada alikuwa ananikazia kichizi kazini na spana ananipiga aswaa. Ila weekend tunaonana na kumchakata namchakata vizuri TU. Huyu dada ana wivu hatari yaani hatari, alikuwa hataki nizoeane na girl yeyote, home anataka nimsindikize kama ni sokoni twende wote. Yaani alikuwa ananibana hadi girl wangu akaanza Kulalamika.

Huyu dada anataka mboo khaa, yeye nyege zikimpanda anataka niende nisipoenda ananizengua hatari, ni good kisser, good fucker na good blower. Kwakweli kunibana kwakwe kulininyima uhuru. Siku Moja alikuwa ananielekeza jinsi ya kutunza files kwenye google docs, so alichukua simu yangu na kuanza kunielekeza, mara sms ya girl wangu ikaingia ikisema " baby nimekumiss"

La au laa........

Nakuja wakuu.......
 
Joannah Njoo ameendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom