Recent content by Mbawi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam sasa kuwa na Wilaya tano

    Jamani tuache mamlaka tulizoipa dhamana zifanye kazi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wateule wasio na vyama

    Muda WA siasa umekwisha acheni JPM na timu yake wafanye kazi kututumikia watz
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ada elekezi shule binafsi tayari

    Serikali iachane na suala LA ada elekezi ya SHULE binafsi cha msingi iimarishe SHULE zake ziwe na kiwango safi madawati,mabweni,chakula kizuri,maabara,maktaba zenye vitabu,walimu wapewe mishahara na haki zao stahiki bila vikwazo hakuna mzazi au mlezi aache bure ampeleke mtoto private?tuache...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa sita (6) kapuni uteuzi wa baraza la mawaziri

    Acheni siasa nyepesi mikoa c kigezo cha uwaziri,acheni kumpangia nn afanye nn aache RAIS ndo mwenye madaraka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa atinga Tume ya Uchaguzi kupeleka malalamiko, azuiwa kuonana na viongozi

    mh lowassa kubali matokeo tudumishe amani tujenge nchi, uongiz tujrnge nchi yetu
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

    Rip our belove hon abdalah kigoda
  7. M

    JamiiForums Tanzania Esther Bulaya awekwa mahabusu kwa kumtukana mkuu wa kituo

    lzm sheria za nchi ziheshimiwe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    ccm iache kumjadili kingunge au kumtukana yeye alijiunga ccm kwa hiyari yake sasa katoka kwa hiyari yake. kosa lake liko wap? haya ndo makosa ya KIUFUNDI tunayofanya kujadili watu baadala ya kueneza sera zetu huku wenzetu wanasonga mbele, hii ni hatari kwa maslahi ya taifa letu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Shujaa wa Demokrasia, Mwanamapinduzi halisi na Shujaa wangu...

    upo sahihi kbs, alitoka ht ndani ya bunge la katiba kupinga katiba pendekezwa. alikuwa ni mtu mwenye msimamo mpk mwl alimsifia ktk hotuba yake ya mbeya juu ya mgombea binafsi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu: Wanasiasa chungeni ndimi zenu, Mungu hadhihakiwi

    Tumsamehe sbb hakuna mkamilifu chini ya jua
  11. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Rip. Wadai tanganyika huru, mgombea binafsi ni pigo kubwa, mshumaa umezimika.
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    km kweli ni pigo kubwa kwetu wanaulanga hakika mungu atakuwa ametunyang'anya mama mpambanaji. RIP OUR MP
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hon Mizengo P. Pinda amua moja, kusuka ama kunyoa

    bilali alikuwepo
  14. M

    JamiiForums Tanzania ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

    chondechonde watz hili la kuanza kunyosheana ukanda ni dhambi kubwa kutamkwa na viongoz sbb ukanda litafata dini then kabila hii ni hatari tusije ipasua nchi tuchunge ndimi zetu amani ikitoweka waathirika watz sbb, 90% hawajui ht ofisini za uhamiaji kupata passport tukosoane kwa hoja co siasa...
Back
Top Bottom