Recent content by mbavuchanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Wilaya ya Chamwino acha tabia ya kuwapiga Watumishi wa chini yako!

    Hawa vijana washazoea posho sasa wametolewa kweny ukuu wa shule sasa wanatapa tapa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Wilaya ya Chamwino acha tabia ya kuwapiga Watumishi wa chini yako!

    Kusimamishwa kazi kwa sababu ya utovu wa nidhamu mnakimbilia mitandaoni ulitakiwa kuomba radhi kwa bosi wko kazi iendelee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Wilaya ya Chamwino acha tabia ya kuwapiga Watumishi wa chini yako!

    Vijanaaa achen kulalama pgen kaz
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mifuko ya karatasi online

    Naitaji mafunzo
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM Wateua Makatibu Wakuu wa Mikoa na Wilaya; Kinana hajarudi. Makonda atajwa...

    [emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanachokwepa Waziri Ndalichako Na Naibu wake Hiki Hapa

    Wapeni walimu kipaumbele wasikilizeni maitaji yao alafu wazaz watoe ushirikiano kwa walimu sio kuwaingilia majukum yao sasa ivi wazaz nao wanajifanya walim
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta Posho za vikao vya Kamati za Bunge na Bodi za Taasisi za Umma

    Tumlinde na kumwombea afya njema Raisi wetu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuwaeleweje wasiomuunga mkono Magufuli?

    Tuweke vyama pembeni alafu tumuombee sanaaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Acha mawazo finyuuuu ebu tuwe na mawazo chanya
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tarehe Ajira za Walimu

    Tumia elimu yako ujiajiari
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Hongera sana mh. Raisi kwa uteuzi kwel hapa kaz tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

    Kuzaliwa kwny osptal ya ccm kusoma shule za ccm adi chuo kikuu cha ccm naithamin na kuishukuru sana ccm oyeeeeeeeeeeeee
  13. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni chaguo bora na sahihi kwa Watanzania

    Magufur mtachimba sana hana dosar cdm woose waliohamia wanakamia madaraka 2 ivyo yan
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Fungueni zenu achan lawama
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Kikwete ya leo, Kuna kila dalili ya kuipeleka nchi vitani

    na tutashinda kwa kishindo uzoefu kazin tunao na mbinu tunazo mtaishia kuiangalia ikulu kwny video
Back
Top Bottom