Mkurugenzi Wilaya ya Chamwino acha tabia ya kuwapiga Watumishi wa chini yako!

Siku ikitokea kwangu hata kama kuna ziara ya Rais, lazima nizindukie kama sio hospital basi mochwari. Yaani mtiti wake utatulizwa kwa kudhibitiwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Makameraman lazima wasave video kiwizi. Sitakubali.
Halafu huu mtindo ulitakazoeleka enzi za mwenda zake.
😀😀😀
Nafikiri wanamuhurumia sababu ni mwanamama.
Hapana ni dume tena ngosha
 
Hii ni mala ya pili jana kumdunda mtumishi hapa kijiji cha manchali,wiki chache zilizopita ulimfanyia hivyo mwalimu mkuu wa shule ya msingi chinangali 2 hukuridhika ukamshusha na cheo je umewahi kujiuliza ni kwanini mliona umuhimu wa kununua wenyewe vifaa vya ujenzi vya shule zoote mkavirundike ofisi ya halmashauri lengo lenu ilikuwa nini je mlitegemea kwa kufanya hivyo huo ujenzi ungeisha kwa wakati? Sasa mmepaniki na DEO wako wa shule ya msingi unawapiga hovyo WATUMISHi mh rais alitaka maendeleo kwa wananchi wake hajakutuma kuwanyanyasa wananchi wake mbaya zaidi huyo afisa elimu msingi nae anawatisha kuwanyima posho viongozi ambao hawajakamilisha miladi hamkutumwa na mamlaka kufanya hivyo bado una muda jirekebishe.
Watu wengine wajinga ,kwamba mkurugenzi anakupiga why nawe usimzabe, Kama ni baunsa tumia hata jiwe, vinginevyo kaa kimia
 
Kusimamishwa kazi kwa sababu ya utovu wa nidhamu mnakimbilia mitandaoni ulitakiwa kuomba radhi kwa bosi wko kazi iendelee
 
Hawa vijana washazoea posho sasa wametolewa kweny ukuu wa shule sasa wanatapa tapa
Nafikiri mleta mada alitaka kuhoji ni sahihi boss kumshambulia mtu wa chini yake akikosea? Kwa maana shambulio ni jinai wewe ndiye unae waza posho na sababu kubwa unajipendekeza kwa huyo boss(chawa)
 
Hii ni mala ya pili jana kumdunda mtumishi hapa kijiji cha manchali,wiki chache zilizopita ulimfanyia hivyo mwalimu mkuu wa shule ya msingi chinangali 2 hukuridhika ukamshusha na cheo
Hivi mnapigwa mnakubali nyie hamjui kupigana? nyie ktk halmashauri hiyo ni mandezi kwelikweli!
 
Mkurugenzi umekuja kujitetea sio? Siku ulikutana na Mimi naning'inia kwenye kenge

Mkurugenzi umekuja kujitetea sio? Siku ulikutana na Mimi naning'inia kwenye kengele hizo😂
Nilivyoelewa mimi kutoka kwa mleta mada ni kuwa kunaupigaji kwenye fedha ya uvico vifaa vya ujenzi vya maeneo yote vilinunuliwa na halmashauri na kujazana pale ofisin kwa lengo la kupiga wakasahau kwamba ujenzi unatakiwa uishe kwa wakati sasa shule zinakaribia kufunguliwa majengo bado wamevurugwa kwahiyo hiyo comment ni ya mnufaika wa upigaji.
 
Hii ni mala ya pili jana kumdunda mtumishi hapa kijiji cha manchali,wiki chache zilizopita ulimfanyia hivyo mwalimu mkuu wa shule ya msingi chinangali 2 hukuridhika ukamshusha na cheo

Je umewahi kujiuliza ni kwanini mliona umuhimu wa kununua wenyewe vifaa vya ujenzi vya shule zoote mkavirundike ofisi ya halmashauri lengo lenu ilikuwa nini je mlitegemea kwa kufanya hivyo huo ujenzi ungeisha kwa wakati?

Sasa mmepaniki na DEO wako wa shule ya msingi unawapiga hovyo WATUMISHi mh rais alitaka maendeleo kwa wananchi wake hajakutuma kuwanyanyasa wananchi wake mbaya zaidi huyo afisa elimu msingi nae anawatisha kuwanyima posho viongozi ambao hawajakamilisha miladi hamkutumwa na mamlaka kufanya hivyo bado una muda

jirekebishe.
Ninacho shangaa haya huwa yanafanyika nanusalama wa taifa hawafikishi taarisha kwa mteuzi
 
Nilivyoelewa mimi kutoka kwa mleta mada ni kuwa kunaupigaji kwenye fedha ya uvico vifaa vya ujenzi vya maeneo yote vilinunuliwa na halmashauri na kujazana pale ofisin kwa lengo la kupiga wakasahau kwamba ujenzi unatakiwa uishe kwa wakati sasa shule zinakaribia kufunguliwa majengo bado wamevurugwa kwahiyo hiyo comment ni ya mnufaika wa upigaji.
Rudia kumsoma tena, wanadundwa...Ila Mimi mume wangu akirudi eti kadundwa na mkurugenzi, bora tu nirudi kwetu nijue sina mume....Mwanaume unapigwaje?
 
Unakubalije kupigwa aisee nyie ndio wale waoga, Sasa ushapigwa nenda kamloge atumbuliwe huyo mshen.zi
 
Back
Top Bottom