Recent content by Mbava

  1. Mbava

    simu za china

    naomba msaada, namna ya namna kuungisha internet kwenye simu za kichina
  2. Mbava

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Za mida wanajamii, naombeni namna ya kudownload youtube vi deo kwenye simu za nokia 5230
  3. Mbava

    Mp4 video free downloads site

    Za leo wana JF, naombeni mnieleze wapi nita download video kwa format ya mp4 na sio 3gp
  4. Mbava

    Dstv mobile

    Nawasalimu wana jf? Mimi bwana nimeanza kutumia hii huduma ya dstv mobile ya vodacom, na huduma hii walivyotangulia kutangaza, walisema huduma hii ni bure, lakini cha ajabu ninapotazama channel zile walizoanisha, nikiangalia salio nakuta imefyekwa' duu! Nilipojaribu kuwapia nakuwaleza tatizo...
  5. Mbava

    watch tbc with airtel tigo na hata zantel na voda hapa

    mim natumia simu ya nokia 5230 INAWEZEKANA
  6. Mbava

    NOKIA 5800 Music express touch screen

    Habari wana Jf bila kumsahau guta. Kuna hii simu ya Nokia 5800 music express, touch screen ya korea ina ubora ule ule kama za Europe?
  7. Mbava

    Age difference in relationships

    Swala umri hapa si tatizo? Mi naona ili mradi kama love? Poa
  8. Mbava

    Bado haujachelewa angalia hawa

    Jamani sio mfano mzuri huu,vunja mifupa wakati bado meno ipo.
  9. Mbava

    Talaka

    Nani mwenye kuathirika zaidi, kati mwanamke na mwanamme baada ya talaka? Naombeni wana JF.
  10. Mbava

    moja ya udhaifu mkubwa wa mwanamke!

    Mimi naona bora mwanamke mwenye watoto hata kama hajaolewa kuliko mwenye ndoa bila watoto.
  11. Mbava

    Mchina original

    Hiyo tofauti ndio nataka niijue plz!
  12. Mbava

    Mchina original

    Vp wana JF, Naombeni mnielimishe katika hili, nimekuwa nikienda dukani kutafuta simu flani eg Nokia 5800 music express nikaambia tuna simu ya mchina original! Nisaidieni hivi kweli kuna simu ya nokia ya mchina original? Nisaidieni kwa wanaofahamu nishaurini ninunue au la?
  13. Mbava

    Umri unasogea

    Tunashindwa kukuelewa mtori! Lazima uheshimu kile ambacho kinakupa furaha maishani mwako, kama umeona kutooa ndicho kikupacho furaha, is okey! Ila kila ujue kuwa kila kitu hupangwa na mungu , hata uzee utaishije? Mungu ndiye anajua, kutokana na sababu walizoeleza wenzangu kuwa uoe mke ili awe...
  14. Mbava

    Uwezo wa tendo la ndoa

    Nazungumzia wanaume, na sio wanawake please? Go on.
  15. Mbava

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Lazima nikuulize? Ww ulidanganya ili iweje ? Lengo lako hasa lilikuwa nini. Mi nahisi huyu binti anakuacha kwa sababu ulishindwa kuwa mkweli kwake katika eneo moja tu la umri, hivyo anahisi utakuja kumdanganya tu katika maeneo mengine. Hivyo nakushauri kaka, jifunze kuwa mkweli kwani mwisho wa...
Back
Top Bottom