Age difference in relationships

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Does a vast age difference in relationships mean that the relationship is bound to fail? Or is it something that couples can work on togeth
 
Age is nothin but a number
mwanzoni ndo age is nothing but number lakini halihalisi ya kupishana kiumru ikiingia manake watu huwa wanapenda vitu tofauti kwasababu ya kizazi chao. Sasa kama mwingine amekulia bongoflava na mwingine kanda bongo mani utavumilia mwishowe labda mmoja amfuate mwingine kila apendacho na afayacho.
 
Does a vast age difference in relationships mean that the relationship is bound to fail? Or is it something that couples can work on togeth



Personally najua kama mwanamke kazidi kidogo it is OK but kama kazidi saana possibility ya kufail ni kubwa... But mara nyingi kwa wanaume haina shida labda awe hawezi kazi...
 
kuna mwalimu wangu mmoja enzi zile alikwa anatushauri tuachane na visharobaro na mwanaume mzuri ni yule aliyekuzidi 5 or 10 yrs. kwasababu wanawake wanakuwa haraka ki umbo na kiakili. thats mean mwanamke wa miaka 30 kiakili ni sawa na mwanaume mwenye miaka 35 na kuendelea.
na kweli nikitizama sasahivi mvulana niliyecheza nae nimemzidi ki sana tu yeye bado ananyonya kwa mama while Im making some penny

Na nikitaka kuwa na partner lazima awe from 5 yrs older than me, sharobaro hawana maana kabisa
 
yes sometimes it does, esp. if the age difference is big,u might find that you are not at the same levelin many aspect,and u don't speak the same language
 
Age is nothin but a number

The Boss
Noooooooooooo..............................Age does matter!


MBELWA:
Vast age difference most of the time end up resulting into a father figure/daughter or Mother figure/son relationship dynamic instead of peer to peer.
 
Age difference accounts when its so big.i think a woman can be up to four years older than a man,the viceversa should be up to eight years. Otherwise i think the relationship will get troubled somewhere on the way...!
 
There is a 25yrs lady i know who got married to a 48yr man three years ago and she says her life has never been better,the man is caring,understanding and they love each other soo much.She says she had dated a few guys her age before but this is heaven to her.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
aaaaah mama gaude wangu weeeeee....kisu kimegusa mfupa hapa!!!!!
 
Age sio tatizo, tatizo kupendana ila mwanamke akizidi sana naye pia ni tatizo.
 
tofauti sana ya kiumri >8yrs mwanaume zaidi ya mwanamke sio busara ukaolewa nae, kwani mwanamume akifikia utu uzima (>45) na akawa shughuli ya sita kwa sita haiwezi/imepungua kasi na bibiye bado damu inachemka basi hii italeta tatizo kubwa katika ndoa, haswa pale mama atakapokosa uvumilivu na kushawishika kutembea nje (houseboy anakuwa mkombozi). Hivyo ni bora kuoana watu wa rika moja, mnakuwa mnazeeka pamoja.
 
It brings flavour, interest, opinion differences too. It is believed women get older quickly than men
 
wangu namzidi 10 years 36 to 26 hapo je?

Mbona we poa tu, mi wangu age diff. ni 16, i.e 40 to 24 na tunakwenda sawa tu, anapenda niwe na swaga za kisharobaro mi poa tu sina noma wala nini, kwani kitu gani! that's why i'm sharobabu! age diff haina noma kama una maujanja ya kwenda sawa na mwenzi wako! na kuhusu mambo ya sita kwa sita hapo ndo mwake, maana mwenyewe huwa anadai namfikisha
paradise! nafanya mautundu na hakuna sharobaro anayeweza kutia mguu, ni madiss na maditch uspime.
 
Does a vast age difference in relationships mean that the relationship is bound to fail? Or is it something that couples can work on togeth

Age isn't always just a number, the generation you belong to tends to have an influence on who you are, what kind of interests you have, etc. so yes, a big age difference can be the cause of a relationship's failure, but that doesn't mean such a relationship is bound to fail. My grandparents have a 10 year age difference for example and still they've celebrated the 50th birthday of their union this year. It really all depends on the people involved.

kuna mwalimu wangu mmoja enzi zile alikwa anatushauri tuachane na visharobaro na mwanaume mzuri ni yule aliyekuzidi 5 or 10 yrs. kwasababu wanawake wanakuwa haraka ki umbo na kiakili. thats mean mwanamke wa miaka 30 kiakili ni sawa na mwanaume mwenye miaka 35 na kuendelea.
na kweli nikitizama sasahivi mvulana niliyecheza nae nimemzidi ki sana tu yeye bado ananyonya kwa mama while Im making some penny

Na nikitaka kuwa na partner lazima awe from 5 yrs older than me, sharobaro hawana maana kabisa
Alichosema mwalimu wako ni ukweli kwa maana ya kwamba wasichana huingia kipindi cha kubalehe mapema kuliko wavulana , lakini ingawa wavulana huchelewa kwa miaka miwili wastani, pengo inasawazishwa kadri wakati unavyopita. Kwa hiyo, msichana mwenye umri wa miaka 10 ndiye sawa na mvulana wa miaka 12 (kwa wastani), lakini baada ya kubalehe kwao kuisha, wanaume hawatofautishi kwa wanawake anymore kiumbo au kiakili (again, on average).

Sisemi kuwa ni vibaya kwao kukataa kudate wanaume ambao hawakuzidi umri, nasema kwamba nadhani you shouldn't be too categorical na kuwahukumu wanaume kulingana na umri wake tu. Who knows, maybe that could make you miss on some really nice, mature ones just because they don't fulfill the "5 years older than you" criteria, which would truly be regrettable…
 
Haya mambo ya tofauti ya umri kwenye ndoa sijui nani alianzisha na malengo yake yalikua nini,na pia sijui alihusianisha vipi umri na mtazamo chanya kwenye ndoa,hivi vitu havina uhusiano kabisa
 
Nadhani zamani ndio ilikua ishu maana ilibidi mwanaume awe mkubwa ili awe ameshaandaa maisha i.e kujenga, n.k. Mke alikua ye anakuja kukaa tu home. Pili, wanawake walikua inasemekana wanawahi kuzeeka kwasababu enzi zile walikua wanazaa watoto kuanzia saba kwenda juu! Siku hizi mambo ni tofauti so age difference sio ishu. Tena demu akizidi kidogo ndio mpango mzima.
 
Age is just a number! I will give you a personal experience., I am 32 years and my man is 52! My God, the guy is like a caterpillar! He is caring, loving and wonderful on bed!

Age is just numbers my dear, aged man are more experienced....
 
Back
Top Bottom