Recent content by mbatizajijr

  1. mbatizajijr

    Huko kwenu vipi?

    Nielekeze bro
  2. mbatizajijr

    GE2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

    Itabidi tu apeleke huduma zote licha ya yeye kupita kwake chadema lakini bado wapo wq ccm waliompigia kura lakini hazikutosha kumpitisha mbunge wa ccm.
  3. mbatizajijr

    GE2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

    Ndioo maandiko yenyewe yanasema itiini mamlaka ilio huu yenu..
  4. mbatizajijr

    Huko kwenu vipi?

    Huko kwenu vipi jamani mimi huku kwetu naanza kuzoea haya maisha ya kuishi bila WhatsApp, Facebook, YouTube, Telegram saivi na enjoy tu hapa Jamiiforums😂
  5. mbatizajijr

    Msaada: Ukichukua form ya maombi ya passport uhamiaji unatakiwa kurudisha ndani ya muda gani?

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  6. mbatizajijr

    Naombeni mnisaidie mwenzenu naogopa kuoa

    Kila kitu kina changamoto zake..
  7. mbatizajijr

    GE2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

    Ni upumbavu tu et aache ubunge kisa wakubwa zake hawajapata ubunge
  8. mbatizajijr

    Marekani ndio rafiki zetu wa kweli

    China ndio veto yetu....
  9. mbatizajijr

    GE2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

    Ni wivu tu kwanini aache au kwa kuwa wakubwa zake hawajapita?
Back
Top Bottom