Ni kweli. Ila sina tatizo la uhaba wa muda. Kwa kawaida huwa natumia wastani wa masaa matatu tu kwa siku katika kujisomea. Utaratibu huu ni kuanzia mwaka wa kwanza!
Habari. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cha Dar es Salaam. Nasoma education (biology na geography). Kwa semester hii ya mwisho nina muda wa ziada wa kutosha. Hivyo nachukua fulsa hii kuomba nafasi ya kuwa mwalimu wa ziada kwa shule yoyote ya sekondari iliyopo hapa Dar es Salaam...
hii ndiyo mbinu ambayo ccm hutumia ili kuharibu makundi ambayo hujitokeza nyakati za uchaguzi. baada ya jina la lowasa kukatwa chama kingegawanyika iwapo membe angepitishwa.
Natafuta rafiki wa kike kwaajili ya kubadishana mawazo hasa yahusuyo mahusiano na ndoa pamoja na mambo mengine ya kimaisha. warafiki wa kiume ninao wengi sana! sifa za msingi: miaka 18 hadi 25. elimu ni darasa la saba hadi first degree.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.