Recent content by Mbassa

  1. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

    Na wewe ni mwanasoka, ndo maana unaiongelea hapa, onesha mfano basi.
  2. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

    Wewe pia ni mwanasoka, hebu weka hapa salary slip Yako, uoneshe huo uwazi Kwa mifano halisi.🤦🏾🤦🏾
  3. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana Simba tuko nyuma yako Mo Dewji, tunaunga mkono maamuzi yoyote magumu ndani ya bodi

    Acha wivu, hata akitolewa hupewi wewe...
  4. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SIMBA SC: Tangu tuanze kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja tumekusanya Tsh Mil 60 hadi sasa

    Mo aliahaidi kuwa atatoa 2b, hakusema atatoa lini, au atatoa yote, au kidogokidogo, hakuna mahali popote alisema ametoa.. elewa kilichosemwa!
  5. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hayo maeneo yana mchanga mwingi wa bahari. So hiyo si kuparara ni mchanga wa bahari!
  6. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba mtateseka sana msimu huu kama staili yenyewe ndo hii

    Peleka CAS😕😕
  7. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF Ranking mpyaaaa, Simba Sc kama kawaida

    Jamani sisi UTOO tuko nafasi ya ngapi
  8. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Simba mbona kila kitu kinanaenda taratibu sana, kuna uzembe sehemu gani?

    Acha wivu na majungu. tafuta pesa !
  9. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini msemaji wa Club ya Simba anatangaza bidhaa za pinzani kibiashara? Inawezekana vipi?

    Acheni wivu, wewe unajua mkataba wake na Simba ukoje? Umeambiwa asitangaze bidhaa zozote za Azam? Mnapenda Sana kuingilia maisha binafsi ya watu. Yeye anatengeneza pesa nyie mnakaa kupiga majungu.... Wewe kazi yako Kama shabiki no kushangilia na kuzomea Basi, Mambo binafsi ya watu achana nayo...
  10. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

  11. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Kama nawaona vile mnavyohaha kuhamisha magoli, baada ya majina yenu mliojipa wenyewe kutrend, utopolo FC, mabonde Kuinama, mlenda United, Mkunungu sports club, gingowazi, vyura, dah mengine mtaongezea wenyewe..
  12. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Vipi tetesi za usajili kwa Chama langu, mabingwa wa nchi zikoje? Nawaona Utopolo FC wanahaha kusajili mapema mapema..
  13. Mbassa

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Manyoya si ya kuku tu hata Bata anayo
  14. Mbassa

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Lenie hawezi pewa ushindi wa mezani
  15. Mbassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    mwenye link please!!
Back
Top Bottom