Recent content by mbasansebhu

  1. M

    Salma Kikwete Cheo chake ni kipi kikatiba?

    wanashindana kusafiri yeye na mumewe.zinazotumika ni pesa zetu
  2. M

    Utabiri wa Mhe.Job Ndugai kuwa CHADEMA kitakufa ni hasira tu siyo utafiti.

    hizo ni hasira baada ya kamanda mnyika kumwambia hana ufahamu wa kanuni za bunge
  3. M

    CHADEMA haitavumilia kutokuonyeshwa Bunge "LIVE'-Mnyika

    wanabaka uhuru wa kupata habari,watanzani tuamke na tufumbue macho
  4. M

    Mwigulu Nchemba: Safari ya Zitto imefika mwisho

    nina wasiwasi na ufahamu na uwelewa wa magulu machembe.jamani huyu jamaa anatumika!?
  5. M

    Sekretarieti ya CCM Taifa yafunika Saranda Manyoni.

    kweli ccm kwishinehi,yaani kubeba watu toka manyoni,kintinku,makutupora,kilimatinde na uongeze na abiria walioko ndani ya trein ndio mnajisifu mmefunika hahahahahaha pia walijazana hapo station ya salanda ni wachuuzi wa chakula.ama kweli ccm kichwa cha samaki
  6. M

    Nape,Mangula,Kinana na wana CCM Mkinijibu haya nitarudi CCM

    aaaa mimi namjibu.Hatuwezi kukiri hadharani ila tumeshindwa kuongoza chama wala serikali sasa basi tunakomba kila kitu ili CHDM waikute nchi tupu
  7. M

    Nape: Dhambi ya ubaguzi inaimaliza CHADEMA!

    viongozi ccm hua mnaazimisha akili mkisha ingia madarakani???
  8. M

    Membe: Sitogombea Ubunge 2015

    daa mzee mwingine wa kuchekacheka anaitaka nchi TUMEKWISHA
  9. M

    Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

    uchumi tunao lakini tunaukalia,mawazo tunayo lakini hatuwazi,njaa jamani inadumaza kufikiri
  10. M

    Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    nchemba mwigulu ni KICHWA CHA SAMAKI ALICHESEMA MH.kARUME
  11. M

    Heri ya mwaka mpya 2013! Niliowaudhi 2012, naomba radhi

    unaomba msamaha ukiwa na uhakika umeikosea jamii ya kitanzania.je 2013 hautarudia ya 2012.au utaanzisha makosa mapya na tusiyo yajua
  12. M

    Picha mkutano wa M4C: Lema na Milya wafunika Kahama

    hata sisi wana wa manyoni tunakuhitaji mhe LEMA Kuja kuamsha morali., KARIBU MANYONI
  13. M

    Kibaha: CHADEMA yaporomoshewa matusi ya nguoni, mpango wa utekelezaji wa ilani wawekwa pembeni...

    huyu si ndo mchemba alyesemekana kakimbiwa na mke kwa kashfa ya kuwaingilia mabinti hapo kwake!?????
  14. M

    Sababu za Msingi kwa nini CHADEMA kitakuwa ni Chama Tawala baada ya Uchaguzi wa 2015

    hujakosea mzee,hata baadhi ya wanaccm wanaipenda cdm ila njaa ndo inawabakiza huko waliko
Back
Top Bottom