Hz habar source yake wapi maana official website za wizara hazna tangazo hlo. mi nmechek cjaona c hapa Welcome to the Official Website of Immigration Services Department of Tanzania wala hapa Ministry of Home Affairs - Home, sasa au ck hz watu tunafanya kaz kwa social media?
Asante kwa pongezi na pia kwa tuhuma, lakini lengo langu halikuwa kuonyesha kuwa hakuna rushwa au kujuana katika kupata kazi, lengo langu lilikuwa kuwaonyesha na kuwapa moyo watoto wa wakulima wenzangu kwamba inawezekana kupata kazi pasipo rushwa wala kumjua mtu. Ukweli ni kwamba hii haikuwa...
Wadau nimefanikiwa kupita mchuzo wa 10,000+ ya uhamiaji lakini hapa sina ninaye mjua pale uhamiaji au mtu ambaye alishawahi kufanya kazi uhamiaji na hivyo sina referee except kichwa changu tu. Sasa wenye utaalam na oral interview za uhamiaji hebu wekeni wepesi kwa kijana mwenzenu angalau kwa...
Hapa naona ccm wanacheza soka la kulpwa kutaka kuanzsha makundi ndan ya cdm na i thnk they ar getng there ila kwa sisi waelewa 2mewasoma na hatuwez jiunga kwenye mjadala huu wenye lengo la kukvuluga cdm kwa hv vjmijadala vsvyo na mshko kwa sasa.
For sure huyu mama nashindwa kumwelewa maana hili swala anataka kulivaa kuitetea serikali akizani kuwa watanzania wasahaulifu watasau mapema na ifikapo bunge jipya watakuwa kimya, she is wrong watanzania wa sasa ni waelevu na waliochoka na mbinu za mwaka 86, amepitwa na wakati na ndo maana ana...
Please mwenye hukumu yote ya kesi ya Lema aweke hapa ili tuweze kuijadili kwa uwazi na ukweli na tujue uhalali wa hukumu yenyewe maana mda huu ni emotion zaidi ndo zinatuongoza kutoa maoni hatuna facts ya kutosha.
majira ya saa moja msimamiz mkuu wa uchaguzi jimbo la arumeru amemtngaza mgombea ubunge ka tiketi ya CHADEMA kuwa mbunge rasimi baada ya kupata jumla ya kura 32,535,dhidi ya 26,296 za mgombea wa CCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.