Recent content by MBAPPE

  1. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Robby one Pharmacy/ Fashion zinamilikiwa na nani?

    Robert Muchunguzi mzee wa gumashi
  2. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Nilisema CHADEMA ya Lissu itakufa rasmi kabla ya 2026 na CHADEMA ya mzee Mbowe itafufuka rasmi soon

    Huna lolote kauze laptop 💻 tu
  3. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Boss wa Kampuni mpya ya kutengeneza Jezi za Simba aliwahi kukamatwa na TAKUKURU na kushtakiwa kwa Utakatishaji fedha haramu na ukwepaji kodi

    Acha kusumbua watu mbona mkuu Bagamoyo ameshaweka wazi kiini cha kesi tajwa hapo juu, na jamaa alikua finance manager wa kampuni.
  4. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

    Wivu tu janaume zima.
  5. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

    Sure,enzi za Kayenga tumekula kuku kila alhamisi na matunda. Ila marehemu KK hakuwahi kuwa master alitolewa Sec akaenda FDC kuwa mkuu pale.
  6. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kitiba, mwanangu anatatizo la mgolo (bawasiri)

    Nenda uonane na gastroentelogist wa karibu na eneo ulilopo utapata tiba muafaka.
  7. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

    Njo PM tuongee hizo ndo kazi zetu kufanyia watu consultation kwenye eneo la pharmaceutical, kwa wanaohitaji kufungua pharmacy,kusajili dawa, vifaa tiba, vipodozi, supplements tukusaidie.
  8. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Meek Mill adai hamjui Harmonize kama ni msanii

    Wabongo bna mtu katuma DM yeye, kavujisha yeye mnaingia kichwa kichwa mnashindwa kujiongeza kuwa ni mchezo tu umefanyika hapa.
  9. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

    Acha kuhamisha goli, nimekuuliza swali nijibu.
  10. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

    Kuna ndugu yako, jirani yako au mtoto wako ashawahi kulatiwa na padre au na wewe ni kama nyumbu tu kufata mkumbo.
  11. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni zaidi ya nusu mwaka sasa tunatafuta mtoto bila mafanikio, tatizo linaweza kuwa nini?

    Mnatumia supplement zipi mkuu za kuongeza uwezo wa kushika ujauzito?
  12. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

    Hakuna shemasi hapa ila kuna shoga mmoja tu kaamua kutengeneza attention kwa manufaa yake mwenyewe.
  13. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Taka zimemwagwa Mtaani Msimbazi B, hii ni hatari sana kwa Watumiaji wa Soko la Kariakoo

    Nimeona pia stand ya buguruni chama hali hio, wakati naendelea kujiuliza kulikoni likapita gari la kuzoa taka. Bila shaka wilaya ya Ilala wanazoa taka leo.
  14. MBAPPE

    JamiiForums Tanzania Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

    Latra walishatangaza muda mrefu hiyo route kutoka Mbezi kwenda Mnazi kupitia barabara ya Morogoro na wakati wa kurudi zinapitia Morocco Mwenge kupitia Ally Hassan Mwinyi.
Back
Top Bottom