Recent content by Mbanyitege

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, tafuteni television station itakayorusha kampeni zenu mubashara

    Mimi ni mkazi wa segerea na mpiga kura na segerea na segerea yetu tunaijua wana segera msituwekee maneo mdomoni madiwani na mbunge wa segera na kura za uraisi kwa taarfa yako ni chadema uliza watu kumi kama sio wote wanaunga mkono chadema basi tisa au nane na sio chini ya hapo na leo ndio watu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020

    Tundu lissu kiboko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Zitto inakinzana na kauli zake za nyuma

    ROBI. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Makonda hana mamlaka anayojidai nayo ya kuhamisha watu

    "].s... [p9s[/IMG]/URL]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Bunge: Wanahabari, Edwin Soko na Moses Mathew warushiana maneno makali studio za Star TV

    Edwin soko wengi tumeona nakutia moyo endelea mbele kutetea watanzania wanyonge nje ya bunge
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni baada ya kamati ya uongozi kuketi

    Moyo wangu unaniuma sielewi wp tunaenda, na kama hoja ni gharama kuna tv binafsi zipewe nafasi yakurusha matangazo hayo moja kwa moja
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni baada ya kamati ya uongozi kuketi

    Ww ndugai kasema kauli ya waziri haijadiliwi kwa hiyo wabunge wa upinzani wangejadili vp kauli ya mzee tff wakati ndugai kasema haijadiliwi fuatilia kwanza vitu ndo uje hapa na kutoa maelezo yako
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa asafirisha watu kutoka mikoani kuongeza idadi ya watu wakati wa kuchukua Fomu

    na bado mpaka mtage mwaka huu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lowassa CHADEMA waidhoofisha UKAWA Shinyanga mjini

    umechemka wewe na Maccm yako lowasa na ukawa ni mpango wa mungu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lowassa CHADEMA waidhoofisha UKAWA Shinyanga mjini

    chambulio wewe ni mwongo Sana ccm haina chake hapa Shy, Solwa, kiahapu na kahama hizo habari umetoa wp usiudaganye Umma wa jf ccm haina chake mkoa mzima wa Shy au na habari za ushetu na msalala huna Kule Kule ndo kabisa ccm kufikisha angalau kura Mia ni muujiza
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Wamekata matangazo Wakati Rais Rais lowasa anaingia
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ziada kwa Magufuli

    think twice wewe kwanza lowasa ni Rais wa tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania upend usipende
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    naunga mikono nipo Shy kila Kona ni lowasa ama kwel UKAWA kupitia Chadema mmelamba dume nasema kwel bora makufuli kujitoa Kayla ya October 25 kuepuka aibu itakayompata angalizo maombi ya kujitoa kwa kufunga kwa kumlilia Mungu ampe lowasa ulinzi wa kimbingu yanahitajika Sana kwann lowasa Ana...
Back
Top Bottom