security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
jinsi unavyoandika upuuzi ndio inadhihirisha nyie na viongozi wenu wapuuzi .....am ready to bet kuwa magufuli ni Rais na hakuna namna ndio kifo cha Ukawa
Jitihada yenu ya kumuhonga doctor imekwama sasa bado mnamuangaisha Mshumbushi , hata hivyo akiondoka ataondoka peke yake na aibu itakuwa kwake, sisi mmeshatuandaa kisaikolojia kutokuwa naye na hapo ndipo system yenu imebugi , ingekuwa sudden ingekuwa na impact kidogo.Watu wengi mnashabikia bila kujenga hoja....ila tuanenda kwenye uchaguzi na tutarudi hapa kujadili wakati huo Magufuli ni Rais wa nchi, mnaaminishwa mambo yasiyo na msingi na mnabisha ukweli wa Dk. utajulikana soon.
Hakuna ubishi kuwa Magufuli utashinda Urais wa nchi hii, Nikiwa kama kijana niliyeamini nguvu kubwa walioweka wapinzani ingetusaidia lakini kwa bahati mbaya nimepoteza kabisa matumaini nao na kuyaamini maneno ya Katibu wa itikadi na uenezi CCM Taifa Nape Nnauye kuwa hao jamaa ni SACCOSS.
Kila nilipomuangalia Mbowe akiwa anazungumza na mifano ya kitoto kuwa asiye na dhambi arushe jiwe....angefanya Busara kuwaomba radhi wafuasi wao kuwa miaka 8 walikuwa wakiwaaminisha uongo hivyo wanaomba radhi kwa kusema uongo na kumuomba radhi Mgombea wao waliyemsema sana kwa miaka hiyo yote (Lowassa).
Chakushangaza chama kimempata mtu kwa siku tatu wamemuamini na kumpa nafasi ya urais wakati Chama Cha Mapinduzi kimekaa nae kwa zaidi ya miaka 30 na hakijampa nafasi, hii ni aibu kubwa sana kwa Viongozi wa Chadema na Ukawa.
Magufuli ukishaingia Ikulu fanya jambo moja Nape aliwahi kusema ukimfukuza kichaa fukuza na makopo yake, Lowassa ana watu wake wengi wakubwa na wamekuwa wakimhujumu Kikwete tangia 2007 hivyo basi kwa sababu wanajulikana wafukuzwe wote ili nchi ibaki salama.
Hakuna siri kuondoka kwa Dk.Slaa CHADEMA ni pigo tosha na kifo cha CHADEMA ,Kinana aliwahi kusema ifikapo Oktoba Ukawa utageuka ukiwa.
haijawahi tokea duniani ndani ya siku tatu mtu kutoka chama kimoja kuhamia chama kilichokuwa na heshima namba moja upinzani kumpa mtu nafasi ya urais ..fikiria mara mbili si maneno ya kishabiki...Dk.Slaa amefanya umamuzi sahihi kabisa na tunampongeza kwa kuamua kuacha siasa maana ameona ni sawa na mwanadamu unayaminishwa shetani si mzuri kisha siku moja unaambiwa mzuri na ndiye mungu!
Think Twice kiundani Zaidi.
kwenye maisha kila mtu na bahati yake na bahati ya mwenzio usiilalie mlango waziHakuna ubishi kuwa Magufuli utashinda Urais wa nchi hii, Nikiwa kama kijana niliyeamini nguvu kubwa walioweka wapinzani ingetusaidia lakini kwa bahati mbaya nimepoteza kabisa matumaini nao na kuyaamini maneno ya Katibu wa itikadi na uenezi CCM Taifa Nape Nnauye kuwa hao jamaa ni SACCOSS.
Kila nilipomuangalia Mbowe akiwa anazungumza na mifano ya kitoto kuwa asiye na dhambi arushe jiwe....angefanya Busara kuwaomba radhi wafuasi wao kuwa miaka 8 walikuwa wakiwaaminisha uongo hivyo wanaomba radhi kwa kusema uongo na kumuomba radhi Mgombea wao waliyemsema sana kwa miaka hiyo yote (Lowassa).
Chakushangaza chama kimempata mtu kwa siku tatu wamemuamini na kumpa nafasi ya urais wakati Chama Cha Mapinduzi kimekaa nae kwa zaidi ya miaka 30 na hakijampa nafasi, hii ni aibu kubwa sana kwa Viongozi wa Chadema na Ukawa.
Magufuli ukishaingia Ikulu fanya jambo moja Nape aliwahi kusema ukimfukuza kichaa fukuza na makopo yake, Lowassa ana watu wake wengi wakubwa na wamekuwa wakimhujumu Kikwete tangia 2007 hivyo basi kwa sababu wanajulikana wafukuzwe wote ili nchi ibaki salama.
Hakuna siri kuondoka kwa Dk.Slaa CHADEMA ni pigo tosha na kifo cha CHADEMA ,Kinana aliwahi kusema ifikapo Oktoba Ukawa utageuka ukiwa.
haijawahi tokea duniani ndani ya siku tatu mtu kutoka chama kimoja kuhamia chama kilichokuwa na heshima namba moja upinzani kumpa mtu nafasi ya urais ..fikiria mara mbili si maneno ya kishabiki...Dk.Slaa amefanya umamuzi sahihi kabisa na tunampongeza kwa kuamua kuacha siasa maana ameona ni sawa na mwanadamu unayaminishwa shetani si mzuri kisha siku moja unaambiwa mzuri na ndiye mungu!
Think Twice kiundani Zaidi.
Na mtaweweseka sana magamba nyie, na hapo bado kampeni hazijaanza mshaanza kukata roho.... Makufuli yako mlangoni yanasubiri funguo zifungue.jinsi unavyoandika upuuzi ndio inadhihirisha nyie na viongozi wenu wapuuzi .....am ready to bet kuwa magufuli ni Rais na hakuna namna ndio kifo cha Ukawa
Hakuna ubishi kuwa Magufuli utashinda Urais wa nchi hii, Nikiwa kama kijana niliyeamini nguvu kubwa walioweka wapinzani ingetusaidia lakini kwa bahati mbaya nimepoteza kabisa matumaini nao na kuyaamini maneno ya Katibu wa itikadi na uenezi CCM Taifa Nape Nnauye kuwa hao jamaa ni SACCOSS.
Kila nilipomuangalia Mbowe akiwa anazungumza na mifano ya kitoto kuwa asiye na dhambi arushe jiwe....angefanya Busara kuwaomba radhi wafuasi wao kuwa miaka 8 walikuwa wakiwaaminisha uongo hivyo wanaomba radhi kwa kusema uongo na kumuomba radhi Mgombea wao waliyemsema sana kwa miaka hiyo yote (Lowassa).
Chakushangaza chama kimempata mtu kwa siku tatu wamemuamini na kumpa nafasi ya urais wakati Chama Cha Mapinduzi kimekaa nae kwa zaidi ya miaka 30 na hakijampa nafasi, hii ni aibu kubwa sana kwa Viongozi wa Chadema na Ukawa.
Magufuli ukishaingia Ikulu fanya jambo moja Nape aliwahi kusema ukimfukuza kichaa fukuza na makopo yake, Lowassa ana watu wake wengi wakubwa na wamekuwa wakimhujumu Kikwete tangia 2007 hivyo basi kwa sababu wanajulikana wafukuzwe wote ili nchi ibaki salama.
Hakuna siri kuondoka kwa Dk.Slaa CHADEMA ni pigo tosha na kifo cha CHADEMA ,Kinana aliwahi kusema ifikapo Oktoba Ukawa utageuka ukiwa.
haijawahi tokea duniani ndani ya siku tatu mtu kutoka chama kimoja kuhamia chama kilichokuwa na heshima namba moja upinzani kumpa mtu nafasi ya urais ..fikiria mara mbili si maneno ya kishabiki...Dk.Slaa amefanya umamuzi sahihi kabisa na tunampongeza kwa kuamua kuacha siasa maana ameona ni sawa na mwanadamu unayaminishwa shetani si mzuri kisha siku moja unaambiwa mzuri na ndiye mungu!
Think Twice kiundani Zaidi.
Najuta kuwa na mwanafunzi kama wewe!wewe ni kilaza wa siasa mimi Nina degree ya political science, hivyo natamka wazi kuwa wewe ni KILAZA, kaa kimyaa.
think twice wewe kwanza lowasa ni Rais wa tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania upend usipendeHakuna ubishi kuwa Magufuli utashinda Urais wa nchi hii, Nikiwa kama kijana niliyeamini nguvu kubwa walioweka wapinzani ingetusaidia lakini kwa bahati mbaya nimepoteza kabisa matumaini nao na kuyaamini maneno ya Katibu wa itikadi na uenezi CCM Taifa Nape Nnauye kuwa hao jamaa ni SACCOSS.
Kila nilipomuangalia Mbowe akiwa anazungumza na mifano ya kitoto kuwa asiye na dhambi arushe jiwe....angefanya Busara kuwaomba radhi wafuasi wao kuwa miaka 8 walikuwa wakiwaaminisha uongo hivyo wanaomba radhi kwa kusema uongo na kumuomba radhi Mgombea wao waliyemsema sana kwa miaka hiyo yote (Lowassa).
Chakushangaza chama kimempata mtu kwa siku tatu wamemuamini na kumpa nafasi ya urais wakati Chama Cha Mapinduzi kimekaa nae kwa zaidi ya miaka 30 na hakijampa nafasi, hii ni aibu kubwa sana kwa Viongozi wa Chadema na Ukawa.
Magufuli ukishaingia Ikulu fanya jambo moja Nape aliwahi kusema ukimfukuza kichaa fukuza na makopo yake, Lowassa ana watu wake wengi wakubwa na wamekuwa wakimhujumu Kikwete tangia 2007 hivyo basi kwa sababu wanajulikana wafukuzwe wote ili nchi ibaki salama.
Hakuna siri kuondoka kwa Dk.Slaa CHADEMA ni pigo tosha na kifo cha CHADEMA ,Kinana aliwahi kusema ifikapo Oktoba Ukawa utageuka ukiwa.
haijawahi tokea duniani ndani ya siku tatu mtu kutoka chama kimoja kuhamia chama kilichokuwa na heshima namba moja upinzani kumpa mtu nafasi ya urais ..fikiria mara mbili si maneno ya kishabiki...Dk.Slaa amefanya umamuzi sahihi kabisa na tunampongeza kwa kuamua kuacha siasa maana ameona ni sawa na mwanadamu unayaminishwa shetani si mzuri kisha siku moja unaambiwa mzuri na ndiye mungu!
Think Twice kiundani Zaidi.
Tatizo la CCM wana shindwa kusoma alama za nyakati na kuja na new strategy wanafikiri wananchi ni wale wa zamani.Kwa post kama hizi mtazidi tu kuidhalilisha CCM jamani, jaribuni kuwa wabunifu japo kwa kiwango kiduchu...poleni sana.
Kweli hajui siasa kuwa ni uongo na hasa kwa watu wasiotumia vichwa vyao kufikilia..... yaani wanaotumia kichwa cha Mbowe kufikiria badala kutumia vichwa na akili zao kufikiria na kuamua katika mambo ya kisiasa.Hujui siasa