Recent content by mbango

  1. mbango

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    [emoji1]
  2. mbango

    JamiiForums Tanzania Shall we fight for freedom in Tanzania

    Of cause yes!
  3. mbango

    JamiiForums Tanzania Shall we fight for freedom in Tanzania

    Wewe umeelewa nini?
  4. mbango

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    Mhu!basi si waseme yaliyojiri?
  5. mbango

    JamiiForums Tanzania Shall we fight for freedom in Tanzania

    It's sound's crazy!some say's that we've got to fight for our freedom, yes,its sounds crazy cause we got our freedom late 1961,so compere ring your fate with some of African freedom fighter is not wise. If your wise enough you should look back at your own eye before looking at your neighbor. You...
  6. mbango

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kati ya Mbowe na Lissu nani awe Mwenyekiti CHADEMA?

    Hilo ndilo linampoza huyo msingida.hao wa kilimanjaro hawakotayari kukiachia chama.
  7. mbango

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza(KKKT): Hivi viongozi wa dini wana mipaka kusema juu ya mienendo ya nchi? Hiyo mipaka imeanza lini?

    Hayo ni mawazo chakavu kwa watu wachovu mnaodhani mnajua kumbe ni majuha.Sikuzote mpumbavu hajui thamani ya almasi iliyopo mikononi mwake bali goroli iliyopo kwamwenzie.kamwe usifananishe usiku na mchana.Tanzania haiwezi kuwekwa daranja moja na hizo nchi unazotaja.poleni!
  8. mbango

    JamiiForums Tanzania Ukwel kwenye mapenzi

    Cha ajabu ni nini?kwani nani kati yetu hachepuki?tofauti iliyopo ni kwahuyo mdada kusema ukweli.mwambie asirudie tena kuwa mkweli kwani kunamsemo unaosema ukweli unauma mno.
  9. mbango

    JamiiForums Tanzania Kusema kwamba Rais Magufuli hashauriki wala hapendi kusemwa ni kumuonea tu mtumishi huyu wa watanzania

    Hakika Agustino umemshauri ipasavyo ndg kakobe,yampasa ajue kuwa kumshambulia Rais wa nchi nikurusha jiwe kwenye kundi la nyuki.Urais.ni taasisi,rais hajajiweka pale kama alivyojiweka yeye nakujiita askof,Rais amewekwa pale na Watanzania hivyo ajue kuwa matamshi yake yamewaudhi watu wa Mungu...
  10. mbango

    JamiiForums Tanzania KERO: Ucheleweshaji wa huduma Dawasco Ubungo, Dar

    Niaje DAWASCO Ubungo? Wakati taifa linasonga mbele kwa kauli ya #HapaKaziTu, ninyi mnafungua milango saa mbili lakini huduma zinaanza saa nne. Kama ni chai mywege kwenu! Tabia za kuwawakusanya wateja hadi saa nne kwa visingizio vya chai, kusoma magazeti au vikao mnatukera mno.
  11. mbango

    JamiiForums Tanzania Mke wa Lissu ataka kuwajua waliotumwa na aliyewatuma kumuua mume wake. Wana mpango gani tena?

    Pole sana mrs Lisu,kama mke unawajibu wakujisikia vibaya maana huyo ndiye ubavu wako.mama naguswa sana na dhamira yako yakutaka kumjua mhalifu aliyepanga nahatimaye kutekeleza unyama huo. Waswahili walisema kuwa kikulacho sikuzote kipo nguoni mwako.usemi huo unadhibitishwa kwenye biblia...
  12. mbango

    JamiiForums Tanzania Nafurahia Sana Makapi kuondoka CHADEMA.

    Acha uzushi,unajifanya hujui siasa ilihali unafanya siasa?kama kweli hujui kama unafanya siasa basi ndiyomaana huwezi hata kutambua makapi yanatoka.wapi na yanaenda wapi,hivi mamvi ulimwitaje alipokuwa cc.....m?fredwaa,na huyo nyal ...je?mimi sina shaka chama chako ndicho kinasubiri makombo ya...
  13. mbango

    JamiiForums Tanzania Tuandamane Aisee! Ubungo Tanesco Isivunjwe...

    Labda uandamane kushinikiza kukumatwa kwa aliyetoa kibali cha ujenzi hali akijua ni eneo la hifadhi ya barabara.acha uchochezi wa hovyo!
  14. mbango

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

    Mr Meningitis,yaani umesema yote lakini kuna watu wanaakili za kishikiwa,hata usema nini wao hawatofautishi kati ya maziwa na maji.haiwezekani ukaita sumu ikiwa kwangu na ikija kwako unaita dawa.Mbowe na uchaga ndiyo tatizo kwa chadema.
  15. mbango

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aungana na Watanzania kulaani tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu

    Ni jambo la kusikitisha hivyo tunaungana na Mh Rais kumtakia kila lakheri apone mapema. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom