Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,040
- 126,045
Sababu kiuhalisia swala kama hilo sio la kusema uanze kujifikiria kutoa maamuzi yaani maamuzi yake yanakujaga papo hapo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] yani nyuzi zingine nizakupita kimya kimya walah,... Hawa watt wanasumbua sana humu siku hizi...aahg
Ila kama ni kweli huwa kuna wanawake vichwa maji aiseee yaani anajifumanisha mwenyewe. Hahahaaa.