Recent content by Mbanga Son

  1. Mbanga Son

    Kwenu viongozi wa kike serikalini ambao ni Waislamu

    Sheria na kanuni za dini yetu jamani mwanamke haruhusiwi kwenda kuaga maiti naomba ieleweke hivo na kaka wewe unaedai kuwa tunashikiria ukale bado hujatambua hata theluthi moja ya ubora wa dini ya Kiislamu
  2. Mbanga Son

    Kwako Mh. Ndalichako, Joyce.

    Kama inawezekana nenda bodi ya mikopo makao makuu yao yapo mwenge dsm uwaeleze ukweli ulioambatana na nyaraka km zile za kuhama chuo na kuelekea udom nadhani watakuelewa, inshallah Mungu akutangulie na uweze kufanikisha ili badae usome kwa juhudi na maarifa na uweze kuikomboa familia yenu
  3. Mbanga Son

    Habari njema kwa walimu

    Mbona nikifanya registration inagoma yaani naambiwa kuwa registration failed?? Msaada plz
  4. Mbanga Son

    Akili kubwa kuhusu Diamond Platnumz Vs Ali Kiba

    Mwanamuziki bora na mwenye heshima ya kuitangaza Tanzania kimataifa ni Diamond platnumz pekee kwa sasa
  5. Mbanga Son

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    KWAHERI SAMWELI SITTA Written by RAMADHAN MBANGA UDSM(MC). Mwaka robaini mbili, Ulizaliwa shujaa, Ukawa ni muhimili, Tabora na Tanzania, Novemba saba Kweli, Ikawa Chungu Tanzia, *_Kwaheri Samwel Sitta_* *_Utakumbukwa...
  6. Mbanga Son

    Come on the electric Chelsea

    5 - 0,
  7. Mbanga Son

    Come on the electric Chelsea

  8. Mbanga Son

    Hongera Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM) kwa kuwapa wanafunzi mikopo kwa wakati

    Kumbe ni kusaini tu mbona jana hapa udsm(MC) accounts zote zimesoma yaani boom watu wameingiziwa jana saa kumi na moja jioni
Back
Top Bottom