Habari njema kwa walimu

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
789
654
Habari wanaJF, napenda kutambusha huduma hii mpya kwenye mfumo wetu wa chenjifasta ambao unamsaidia mwalimu anayetaka kufundisha kwa muda wa ziada(Temporary) au kujitolea kufundisha(Volunteer) au kutafuta kazi ya ualimu(Permanent ) kuwa rahisi kutafutwa na muhusika. Unaweza kujisajiri na kuweka taarifa zako kwenye mfumo wetu ili iwe rahisi mtu kukutafuta kama anahitaji mwalimu. Nimeweka huduma hii kwa sababu kuna kipindi nilikuwa natafuta mwalimu wa ARTS paka leo sijampata aje kufundisha tuition center yangu, nikaona niweka huduma hii ili iwe rahisi mimi na wengine watakao kuwa wanatafuta mwalimu kwenye center zao.

ChenjiFasta :Home

Asanteni : Karibuni
 
Walimu tumeajiliwa na serikali muda wa ziada tunafanya mishe nyingine
Kufundisha kwachosha mkuu
 
Kwa wale mliyojisajiri mkaweka taarifa nusu , naomba mjisajiri tena. Kuna sehemu nilikosea kuweka kitu flan. Tafadhali naomba mjisajiri tena, maana nimefuta walioweka taarifa nusu.

Asanteni, Poleni na usumbufu. Unaweza kwenda kwenye find a teacher page ukajaribu kujitafuta ili uwakikishe kama upo au la!
 
mkuu nmefata mtiririko wote lakin bado. angalia first name nmeweka, last name nmeweka, sex nmeweka, email nmeweka, namba ya simu nmeweka, shule nmeweka sekondari, employee or unemployment nmechagua unemployment nahic hapa ndo panashda, pia nkachagua volunteer. then nkaagree na kutaka kukamilsha kwa kujirejista still inaniandikia reg failed what is the problem mkuu
 
Jina nan nikuangalie, maana usiwe umejisajiri tayari
 
Back
Top Bottom