Recent content by mban

  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njooo Mkuranga nije kibaha mji idara secondari
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

    Amejaa tele mkimani city sasahivi kwenye graduu ya UDSM
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

    Ni mkuu wa chuo ndiye anayetunuju amejaa tele mkimani city sasahivi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kupatikana kwa Loss Report Mtandaoni: Kongole sana Jeshi la Polisi

    Kaka huna kitambulisho taifa ndo utaenda kukonfirm Kama unacho unamaliza mwenyewe tu kwa vitu vidogo Kama vitambulishi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kupatikana kwa Loss Report Mtandaoni: Kongole sana Jeshi la Polisi

    Si kweli labda Kama kunavitu vingine...mm niliwahi kupoteza bima ya afya ya mtoto wangu nilifanya kilakitu nyumbani kwangu nikaingiza namba zangu za KITAMBUISHO Cha taifa nikalipia 500 nikaprint nikaenda bima kuomba kadi nyingine Wala uko polisi sikukanyaga
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

    Leo kunagraduu UDSM pale watu so wakaakikishe Kama mzee ni mzima wa afya au vipi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kurudi kwa UDA (daladala) hii maana yake nini?

    Mbagala kwenda Ubungo yalikuwepo muda wote...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushuhuda malipo ya 27,000 umeme mikoani

    Hii ni kwa mijini maana ata Kibaha mjini Bei ni laki tatu na ishirini lakini kibaha vijijini ni 27000 tu itazidi kidogo Kama nguzo ipo mbali
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushuhuda malipo ya 27,000 umeme mikoani

    Mlandizi sisi tunewekewa mwaka Jana tu kwa Bei hiyo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mwendazake hakupata kuyajua haya?

    Rushwa ilikuwa kubwa sana yani ..kuzuia uhamisho wa watumishi tu kulitengeneza rushwa kubwa sana paleTAMISEMI
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

    Tatizo ni mliokuwa mnasifia kupitiliza
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Sawa nakusema mradi wa ujenzi wa uwanja wa taifa ulikuwa wa Jk wakati aliukuta
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Tazara flyover si wa Magufuli yeye alimalizia tu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya matajiri itakapoanza kuchukua nafasi yake, kilio cha wanyonge kumlilia Dkt. Magufuli itazidi kusikika na wa kuwazuia hatakuwepo

    Yalikua ni mambo ya tekinolojia tu lakini kulipa kwa wakati mmoja ilianza kipindi Cha mwisho mwisho wa Jk kwa JPM kulikuja kuboresha tu
Back
Top Bottom