Recent content by mbalazi og

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu unahitajika ili nisije kuharibu mahusiano yangu

    Mkuu ungeteleza kwanza alikuwa na tabia gani hizo mbya halafu tuaanzie hapo kushauri... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu waliooa hudhani wanapata tendo la ndoa bure kuliko ambao hawajaoa?

    Vipi tunaoishi na demu hatujaoa? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Mkuu,tako muhimu sna unakuwa unanesanesa!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tufahamishe: Uliijuaje JamiiForums? Unawaambia nini wasio wanachama?

    Binafsi nimeifahamu jamii forum tokea mwaka 2012 kipindi hicho nilikuwa advance....niliifahamu kupitia mjomba wangu ambae nilikuwa nikimuona akiifuatilia sana,kipindi hicho niliona kitu cha ajabu sna SBB niliona kama alikuwa akipoteza muda mwingi... Miaka minne baadae baada ya kuwa na uwezo wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tusimuliane marafiki: Umetoka wapi na career yako?

    Duu...maisha hayaeleweki kabisa,binafsi nilitamani niwe dokta mara gafla nikajikuta nasomea ualimu...duh hata ualimu wenyewe sijaupata nipo tu nazurula mwishowe nimejikuta nauuza duka...lakini nashkuru mungu maisha yanaenda poa... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dada kaniambia "I love you"

    Unaweza labda ukala tunda kimasihara Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

    (1)mke wako amekuchulia poa sna ...wewe ni baba lazima uwe chuma ktk familia kuwa hata mkali sna anapoonesha vitabia vya kipumbavu. ( 2)mkalishe chini mwelekeze jinsi upendezewi na tabia zake za kujinunisha. (3)fikilia kugawana mali uachane kama hatokuwa tayari kubadika kitabia....lasiivyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kamari ni mbaya...

    Poleni namajukumu ya Pasaka! Sambamba na hilo nichukue fursa hii kuwakumbusha ndugu zangu kuchukua tahadhali juu ya virusi hatari vya COVID19. Wakuu jana katika pitapita zangu nilienda kwenye baa moja baada ya kupata mbili tatu nikajikuta nashawishika kucheza liko dude moja hivi humo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nililala guest na binti kwa mwezi mmoja na nusu

    Chai Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu...

    Alikuficha nn mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dada tuliekutana Mwenge please nitafute

    Akikukupm usisahau kuleta mrejesho mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Eti hiki ndicho kinachowakera wanaume kutoka kwa wadada?

    Epuka misongamano isiyo ya lazima. Osha mikono yako kwa maji tiririka kila unapomaliza kugusa vitu mbalimabali. Vaa barakoa, TAHADHALI,COVID19INAUWA... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

    Uzi umejaa sasa!ngoja niku pm mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nyuzi pendwa kuliko zote! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

    Niko sit ya mbele kabisa! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom