Ushauri wenu unahitajika ili nisije kuharibu mahusiano yangu

Wachaga wanapenda harusi kama ni binti atataka afanyiwe send off ikatwe ndafu pale ndgu waje wacheze waone kweli binti yao kaolewa. Kwan yeye ni dini gani maana usikute dini hamlandani!
 
Bro mbona kama muongo muongo, mara mwanasheria mara daktari, au wapo wengi, unataka kufanya seleksheni

Nilitumia tu hiyo Taaluma ila yeye ni daktari mwanangu.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wachaga wanapenda harusi kama ni binti atataka afanyiwe send off ikatwe ndafu pale ndgu waje wacheze waone kweli binti yao kaolewa. Kwan yeye ni dini gani maana usikute dini hamlandani!

Chukulia dini zetu zinaendana.! Mie dini hazina uzito wowote..! Mambo ya dini kwangu hayana nguvu kabisa nusu ninaamini nusu siamini mambo ya dini ila Yeye ni MKKKT

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Chukulia dini zetu zinaendana.! Mie dini hazina uzito wowote..! Mambo ya dini kwangu hayana nguvu kabisa nusu ninaamini nusu siamini mambo ya dini ila Yeye ni MKKKT

Sent from my iPhone using Tapatalk
Yani hapa kuna matatizo juu ya problem.... jiandae

Sent From Galaxy S9
 
Mkuu kwanza kabisa acha kupigia mahesabu mwanafunzi. Hawa huwa na betting ngingi saana za maisha. Nadhan ungesubiri amalize shule kisha ndio umueleze akili ikisha komaa

23yrs umwambie aolewe bila sherehe ni ngum saana kukuelewa.

Pia usifocus kwa bint mmoja uwe na sample space kadhaa hivi ndio uchague

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchaga halafu mwanasheria Mkuu ulikuwa unamaanisha nn maana hongera Zaid ya moja umempa fafanua mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina neno mkuu.
IMG_20200425_153337.jpg
 
Mchaga na sherehe ni kama wanambeya na tabia ya ubishi

Mwanaume wa kweli haogopi kutoa maamzi yake kwa mwanamke maana kuoa au kuolewa ni maamzi ya wawili mmoja anapo leta kipingamizi basi awe huru kubaki na anacho taka

Uchumba ni garama ya akili

Ndoa ni taasisi isiyo hitaji wasio jitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukulia dini zetu zinaendana.! Mie dini hazina uzito wowote..! Mambo ya dini kwangu hayana nguvu kabisa nusu ninaamini nusu siamini mambo ya dini ila Yeye ni MKKKT

Sent from my iPhone using Tapatalk
Sawa nimekuelewa hata hiyo sheria uliyosema ni kuepusha kujulikana wala hamna shida.

Tuje kwenye fundamental analysis. Wao wanapenda sherehe kuliko maelezo, wewe hutaki. Inasemekana hawapendelei sana kujihusisha na ndugu wa mume, wewe unao wanne na hawana wazazi. Kwenye dini pia mko tofauti ingawa huzingatii.

Kazi wanapiga sana na ushasema anasoma nini, najua wajua atakuwa na mazingira gani ya kazi. Kumbuka ushasema uliyeachana nae alikuwa na tabia alishindwa badili.

Bado ni mwanafunzi tena mdogo, nakadiria ana lifestyle ya kawaida inayopenda harusi, hajachelewa wala hana sababu ya kufanya kimyakimya kama katoroshwa.
 
Uoga wako tu mkuu ....mimi ni mchaga na dada yangu aliolewa kimya kimya alikuja shemeji alikuja tambulishwa home akalipa mahari + kasherehe wakarudi dodoma aisee sasa hivi ni miaka 7 tokea kutambulishwa sista aliniambia walifunga ndoa kanisani ikaisha na wana mtoto mmoja sasa hivi

Nijambo lakumpanga tu mkuu acha kumuogopa au acha kujali mtu atawaza nini onyesha nguvu yako ya ushawishi lasi hivyo utapelekeshwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza kabisa acha kupigia mahesabu mwanafunzi. Hawa huwa na betting ngingi saana za maisha. Nadhan ungesubiri amalize shule kisha ndio umueleze akili ikisha komaa

23yrs umwambie aolewe bila sherehe ni ngum saana kukuelewa.

Pia usifocus kwa bint mmoja uwe na sample space kadhaa hivi ndio uchague

Sent using Jamii Forums mobile app

Nalo neno mkuu, Ahsantee sana mkuu.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom