Recent content by mbalawe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

    Amen!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zali lililotaka kunipeleka Segerea, niligundua mfumo wa ATM una tatizo

    Unafufua kesi eeh?!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

    Mara nyingi nilimsikia baba akijamba, tena kama mafler ys gari iliyo pasuka 😀 lakini sijawahi kumsikia mama akijamba! Kunani?? Wahenga nipeni ilimu!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Msimlinganishe Bernard Membe na Edward Lowassa

    mama Mgirwa vipi?!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

    Cheo chake ni kikubwa kuliko huo ubunge!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pantsir-SM | Mfumo mpya wa ulinzi wa anga kuzinduliwa nchini Urusi

    Hamvai barajoa?!😲 Corona njoo wako huku 😀😀😀
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nelson Mandela ni msaliti wa harakati za Uhuru wa Afrika Kusini na Afrika kiujumla?

    ww upo kamanda👊Yafanye hayo Aliyoshindwa Mandela bro! Yeye uwezo wake umeishia hapo!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

    Tusisahau tulipo shindana kuvaa Pekosi, laizoni, kaptula na stoking, kuchana na kuweka way... Wenzetu siku hizi wananyoa kama kichwa cha jogoo, na kuvaa kata K! kweli kila zama na ujinga wake 😀😀😀
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

    😀😀😀😀
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

    kumbe jibu kumbe jibu unalo babu! Unisamehe kama nimekujibu ndivyo sivyo!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

    Tulitoka shimoni kivipi?? Kwani hujui kila zama na ujinga wake??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

    ☝wahenga wenzangu😀
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

    Nani anakumbuka bei ya shati gosage, shikibo?!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

    nakumbuka gari ya jeshi 109 land rover fixed for radio ilikuwa Tsh.58000 na kuna maandishi yaliyo andikwa mbele ya dereva kumsisitiza Aitunze!
Back
Top Bottom