Nianze kwa kuwasalimu wakuu wote wa JF itifaki ikizingatiwa.
Bila kupoteza wakati nije na hoja moja hapa kuhusu ajira zinazotengenezwa na miradi hii mikubwa...
1. Nimefanya utafiti kidogo kuhusu takwimu wanazotoa kuhusu ajira za wazawa lakini nimegundua asilimia 95 ya waajiliwa wengi wanakuwa...
Shida moja kubwa mnasema mnalipambania taifa wakati Kabashite kanakula bata Kwa hela za uizi... Mkitaka tuwaunge mkono na tuone mna nia njema tubadilishe katiba tuweke usawa wa sheria na kila mtu afanye kazi hiyo nitawaunga mkono bila Hiana.
Utawala ni wa kitambo tu lakini haki hudumu hata milele naamini umeeleweka mkuu atalifanyia kazi kwa kuijali nchi wala sio hisia binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha Yetu watanzania hayana mwelekeo iyo ndio shida kubwa: Nchi haindeshwi kwa kauli Za majukwaani bali kwa mipango iliyowekwa, sasa Rais kukataa kutengeneza katiba mpya inaleta ukakasi Sana. Me mtazamo wangu ni kuwa ili tutoke hapa tulipo tunahitaji kupata Dira ya nchi Pamoja na katiba Moya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.