Recent content by mbaije

  1. M

    Kizaazaa: Bwana harusi apokea zawadi ya picha za mkewe akishiriki tendo kinyume na maumbile

    Life goes on! Hao wamejifunza the hard way. Moyo wa MTU kichaka.... Heri yao walau wamejua 5% ya yaliyo nyuma ya waliowapenda. Huyu kajua ya kuchepuka na huyu kajua reaction ya mwenzio inapokuja Yale usiyoyatarajia. Mwisho wa Siku.... Lazima maisha yaendeleeee.... Sio kusema sitapenda tena, au...
  2. M

    Meya wa Kinondoni aungana na Meya wa Jiji kumpinga Makonda

    Angalizo LA kiusalama kwa wananchi na vyombo vinavyohusika. Given hali ya uhalifu katika jiji LA DSM, Umakini uwepo kuelimisha wananchi, Wezi wasije tumia mwanya wa ukaguzi wakaibia watu. Matapeli watafika wakisema ni wakaguzi. Tuwe makini.
  3. M

    Weekend Story! The Workaholics Silence

    Story inatambaa kuanzia uchumi, masomo, ubunifu, drugs, mapendo, mahabati, usaliti, muziki, ubandindu, umbea, kazi , mbinu za kivita hadi mambo ya kimedically. Mtu mzima najikuta nafuatilia Tu.... You are the best..
  4. M

    Weekend Story! The Workaholics Silence

    Kama hutoandika vitabu na kuuza utanisikitisha best. Wewe ni mkaliiiiii!! Usipite bila kuacha alama kwa kuandika vitabu.... Usipite Tu kama Lunyamila, Boban na Chuji.... Fanya kweli. Mungu akutangulie.
  5. M

    Kwanini serikali inamhofia ''Nyoka wa makengeza''

    Watu wengi tunaowaongelea ufisadi Mkubwa huenda tuhuma dhidi yao si za kweli, au they played it so smart that kuwakamatia chini ni vigumu. Kwa nini wametajwa miaka nenda rudi na hamna wafanywalo?
  6. M

    Jumamosi irejeshwe kuwa siku ya kazi ofisi za umma

    Mimi ni mtumishi wa umma. Sina cha jmosi wala jpili. Na sasa naelekea kazini. Nurses , drs wako kazini. Waalim wa zamu, police wako kazini.makatibu wakuu wa wizara, wasaidizi wao lazima wataenda kazini. TRA bandarini, usalama barabarani wataenda lazini.....n.k. Ukiona kazi yako haikuhitaji...
  7. M

    Dr.Kimei:VAT itakatwa kama ilivyopitishwa na Bunge

    Sifikiri kama serikali haikujua itakatwa wapi?. Walijua vizuri. Sarakasi Tu. Issue ni kutoa elimu ya ulipa kodi. Bahati mbaya mtaji wao ni kuwaambia wananchi hiki kitakuwa bure na hiki bure.....sasa kwa hili wanakosa pozi na kujiamin. Kwa upande wangu naona ni chanzo kizuri cha mapato. Tukubaliane.
  8. M

    Naona maisha hayana faida tena baada ya kuachana naye

    Hiyo kazi ya kuyoa bikira nano anataka? Wahandusi huwa hawako weak hivi.... Unabadili dini???? Wazazi walisemaje?..?...Hongera lakini..... Umeepuka kikombe mapema.....anaonekana mbinafsi sana.
  9. M

    Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

    Pole. Ukishirikisha ndg na jamaa watakushauri ujinga wa kusamehe na kuwa na subira. Mwanamke akishafika hapo latu harudi nyuma. Yatajirudia rudia.siku hazigandi.... Songa.mbele Mungu amekufunulia hayo ili uchukue hatua. Ukishindwa kuchukua uamuzi wa kumwacha utajuta.
  10. M

    Mwenye maarifa na utapeli huu

    Kuna mstaafu mmoja alishutuka but walishapiga M 7. ... Wabaya sana wale.matukio ya namna hii watu wanatakiwa kupewa matangazo ya kuwaelimisha kupitia vyombo vya habari. Police na mifuko ya hifadhi ya jamii wanatakiwa kusaidia katika hili. Mafunzo ya kujiandaa na maisha baada ya utumishi yapewe...
  11. M

    Madhara ya kutoka na changu yamenikuta

    Kutokana na ulivyoandika, unaonyesha we we ni MTU Mwenye roho nzuri na unajali. Hata umemshirikisha mama. Issue ya DNA watu wanataja taja Tu. Kuna maisha baada ya kipimo hicho..... These days kila MTU DNA, DNA..... Amekuwa MTU wako... Kutoka huduma kwa malipo hata kupeana bure.... Unajua uwezo...
  12. M

    Madhara ya kutoka na changu yamenikuta

    Kwani ukimwi unapatikana kwa wahudumu wa bar pekee?!
Back
Top Bottom